Gazeti la Ijumaa Waja na Mpya:Uwoya, Diamond Wanaswa Hotelini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na Mwandishi Wetu

Unaweza kukwepa matone ya mvua lakini siyo kamera za Global Publishers Ltd, zinapoamua kukufanyia kazi, ukibisha waulize Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mke wa mtu, Irene Uwoya.
Diamond na Uwoya, walifanya jitihada za hali ya juu kuuficha ukweli kuhusu uhusiano wao lakini ilipofika Machi 25, mwaka huu, walinaswa na kamera za Global kwenye hoteli moja yenye hadhi ya nyota tano, iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam.
The Biggest IQ, Ijumaa Wikienda, linathubutu kwa kuwa lina ushahidi wa kutosha kutamka kwamba Diamond na Uwoya, walilala kwenye hoteli hiyo, chumba namba 208, waliingia saa 8:24 usiku kisha wakatoka kati ya saa 9:00 na saa 9:13 mchana.
Hili ni skandali linaloweza kuweka rekodi ya kukaa kwenye vichwa vya watu kwa muda mrefu ujao, kwani Uwoya siyo tu kwamba ni mke wa mtu, bali pia ni juzijuzi tu alijidai amesahihisha makosa yake kisha akathibitisha kurudiana na mume wake, Hamad Ndikumana ‘Kataut’, baada ya kutengana kwa kitambo kirefu kidogo.
Skendo hiyo, inakuja na picha yenye mshtuko mkubwa kuhusu Diamond ‘Sukari ya Warembo’, kwani baada ya kumpitia Uwoya, ni dhahiri kwamba ndani ya Klabu ya Bongo Movie amebakiza wa kuhesabu, tena ni wale ambao mvuto wao ni wa kumulika kwa tochi, vinginevyo, vinara wote ameshadondoka nao dhambini.
Kwa kuanzia na Jacqueline Wolper, Wema Sepetu, Jokate Mwegelo, Aunt Ezekiel, Uwoya ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unit pamoja na warembo wengine kibao, ni wazi sasa mtandao wa ngono wa Diamond, unagusa karibu asilimia 97 ya mastaa wote wa filamu na muziki nchini...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ujana maji ya moto.Diamond anachizika na hela anazopata kwa wingi akutegemea kuwa hipo siku ataweza kulala na hao warembo wote alozeaga kuwaona kwenye video.pole sana kwa Penny maana amepotea njia.diamond n mwanaume mchafu cjawahi ona.na huyo Irene uwoya shame on her kashindwa kulea familia yake kaenda kuchezewa na ako kavulana.#Nasibu badirka bwana#

    ReplyDelete
  2. eeeeh haya mapenz ya wanaojiita masupa staa wa bongo mpk raha sasa penny baby mama n how ila kgari ktakuliwaza

    ReplyDelete
  3. hapo hamna kamera za global publishers wala nini..pcha inavyoonekana ni security camera zinazofungwa ukutani..na hizo pcha zimevujishwa na hiyo hotel kuptia record zinazo chukuliwa na security camera...

    Mwanamke cku zote ni zaifu..na huyo diamond usuperster na pesa zake anazi2mia vbaya..yule aliyekupandisha ndiye atakayekushusha

    ReplyDelete
  4. Irene kumbe ni malaya! jamani kwanini usikitulize kwa mumeo? Dah na huyi diamond amekosa wanawake wengine mpaka atombe mke wa mtu? si huwa wanaseme mke wa mtu ni sumu! huyu anahitaji kifo tu! tusubiri tuone yetu macho!!

    ReplyDelete
  5. Jaman yani watu hawaogop maradhi cku hz wanazini hovyo tu kuona ufahari hv utaenda kumweleza nn mola wako

    ReplyDelete
  6. AYA THATHA MI NIMEINGIA NA MI NIONEKANE NIPO2

    ReplyDelete
  7. jaman mwachen uwoya kaona wakali wenzake wote wamegongwa kabaki yeye hivyo nayekagonga copy wengine wafuate jaman madada bongo move kaz kwenu

    ReplyDelete
  8. jamaniii...we ach2 22lzaneee...kwn hvo v2 vpo2, kwn uktlia kwny ndoa yko kun xhd gni?,uwoya ach papar mtoto wakike na diamond oa ach mapepe broo...,

    ReplyDelete

Top Post Ad