Hajawahi Kujamiiana, na Bado Ananibania Mpaka Sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Habari Wadau... Nina mpenzi wangu, nampenda saana, we have been dating for 1 year and 9 months now. Hatujawahi ku-doo. At the early stages of our relationship, i once cheated, na nlimuumiza sana, lkn nilikiri makosa, na akanisamehe, and we trust each other once again, na tunaendelea vzri sana kwakweli, mapenzi yapo vizuri.
The issue is, she is a virgin,ive proved it, coz sometimes tunakua faragha pamoja, we kiss and romance, bt we dont do it,, lakini kila nikimuomba, ananiambia she is not ready, she told me to wait for another year, i am ready to wait bcause of the love i have for her, lkn maswali hayaishi kichwani mwangu, je, nikiendelea kungoja, mpaka muda huo, which will b almost three years, will it b not too long? Hatakuja kunidharau na kuniacha njia panda? Will she keep on loving me? Am i doing the right thing kungoja,?? Samtymz nakua na hamu and i dont want to cheat on her,, na maswali mengine mengi,, nishaurini wadau? Am i going in the ryt track? Should i wait?? Au nimuombeje akubali na ajue kua kwa muda wote niliokua nae, kama ningekua nahitaji ngono tu, ningeshamuacha, im rreally into her, na akiendelea kua na tabia njema, Mungu akipenda tutaoana,kwasababu sijaona baya lolote kwake,, ushauri wadau. Shukrani sana
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bigup kwakuwa mvumilivu na huyo dada ndivyo inavyotakiwa sio mkutane na mtu tayari mnafanya ngono mimi ninachokushauri kawaone wazee wake au watume wazee wakatoe posa kama mmeshakubaliana kuowana muwanze proses za ndoa ndoa ni jambo la baraka sana km uliweza kuvumilia muda woote huo basi fanya na maana kwa kumuowa kabisa ndio ufurahie tendo la ndoa mkiwa ktk ndoa itakuwa na baraka baraka zote duniani na mbinguni goodluck

    ReplyDelete
  2. Mwanangu hamna kitu kizuri kama hichi kwani siku ya harusi yenu utatamani sherehe iishe mapema ile shughuli ikaanze rasmi.ni wachache sana siku hizi wanawezaga kufikia hatu kama hiyo Ni jambo la kumpendeza Mungu hakika.

    ReplyDelete

Top Post Ad