Hatimaye Irene Uwoya afunguka kuhusu ishu yake na Diamond!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya habari nyingi sana kuhusu Irene Uwoya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na Diamond platnumz kutawala vyombo vya habari na kwenye mitandao hapo juzi, hatimaye bongomovies.com tuliamua kumtafuta kwa simu mwanadada Irene Uwoya ili tuweze kumuuliza juu ya tuhuma hizi za yeye kuingilia penzi lwa mwanadada Penny kwa kijana wa “mbongofleva” diamond platnumz.
Baada ya majaribio mengi ya kupiga simu yake ambayo ilikuwa haipatikani muda wote wa mchana baadaye kwenye mida ya saa kumi na mbili hivi jioni tuliweza kumpata hewani na Jibu lake lilikuwa moja tuu kuwa “achana nazo” na sisi tukaona kweli tuachane nazo ila tukufukishie wewe msomaji wetu mpendwa “response” hiyo ili mwenyewe uamue na kutafakari. Hilo ndo jibu alilotupa mwanadada mrembo wa bongo movies Irene Uwoya kuhusu tuhuma za yeye kutoka kimapenzi na msanii Diamond.
Source:Bongo Movies
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ukiona hivyo ndio ujue keshaliwa tena,aongee nini cha zaidi ambacho hakijulikani,kila kitu kiko wazi kuwa kamegwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yote hyo yaweza kuwa uongo n cku zote inatakiwa umskilize muhucka kasema nn ukng'ang'ana mwenye ukwel n yy angalia utaumia!!!!

      Delete
  2. kamegwa tu chezea plutnum wewe utalala hoi

    ReplyDelete
  3. Diamond na mimi naomba nionjeshe, mbona wadada hawaishi, na sijamsikia aliyejutia kupata muhogo wako uo wenye mbolea iliyonawirisha mpaka kufika 10nchs. hahahahhahahhahhahahhhha nimegeee na miiii mmmhhhhhhhhh

    ReplyDelete
  4. dogo diamond gonga woooote dogo ukiwamaliza jigonge hata we mwenyewe yaani

    ReplyDelete

Top Post Ad