Hii Ndio Ndege Aliyonunua Msanii Jaquar Kutoka Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki kutoka Kenya, JAGUAR amenunua ndege binafsi ...

Jaguar anaefanya vizuri kwenye muziki wake huko nchini Kenya na Africa kwa ujumla inasemekana he had purchased ndege yake hiyo binafsi siku za nyuma kipindi cha kampeni za uchaguzi nchini Kenya na ameshaitumia mara kadhaa ...

Jaguar ambae hivi karibuni ameachia single yake mpya inayojulikana kama KIPEPEO inasemekana amenunua ndege hiyo ambayo pia ameshaipa jina lake, yaani AIR JAGUAR

Jumamosi moja katika uwanja wa ndege wa Wilson Airstrip uliopo nchini Kenya, Jaguar anasemekana kuitumia ndege hiyo inayopandisha abiria sita kwenda kustarehe huko Great Lake Resort, Niavasha akiwa na baadhi ya wasanii wengine
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad