Hiki Ndio Kinachoendelea Online Kati Ya Diamond Na Ommy Dimpoz ...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mapema leo, Diamond Platnumz ali-tweet kupitia ukurasa wake wa Twitter kuhusu mambo ya mapenzi na mahusiano ...
In between, Ommy Dimpoz jumped in... This is too far hilarious ... Ha ha ha ...
Ni kweli haya yanatokea??!!
Check them tweets hapa chini :
Source:Gonga Mx
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kweli diamond ameongea hivyo lakini mara ngapi yeye anakuwa na demu huyu mara utasikia yuko na mwingine kesho, hebu diamond mdogo wangu jaribu kuwaheshimu dada zako hata wewe ukizimikiwa si lazima useme twende tu angalia kwanza unaweza kulala chooni hebu tafakari bado tunakupenda na kazi zako ni nzuri na pia wakati kama huu ni bora kumrudia Mola maana hakieleweki.....

    ReplyDelete
  2. Dah huyu Diamond alitoa tweet hiyo siku chache baada ya kukumkaza Uwoya ambaye ndiye alikuwa akimponda sana diamond mbele ya wenzake.

    Halafu mdogo wangu Diamond, jichunge sana kwa kumkazia mnyarwanda mke wake wa ndoa (siyo demu) na kumfanya jamaa azirai mbele ya watu kwa hasira. Kilichojengeka moyoni mwake baada ya kuondoka nchini hukijui. Usidhani kuwa ulichofanya ni sifa bali kaa chonjo sana kwa vile ulijijengea uadui wa hatari sana ambao haukuwa wa lazima maishani mwako. Nadhani unafahamu jinsi Dude alivyoomba samahani kwa vile alikuwa anajua ubaya wa jambo hilo kwa mnyarwanda. Kumbuka kuwa yule siyo mswahili ambaye anasamehe na mambo yakaisha; anaweza kukuwinda kwa muda mrefu sana mpaka alipize kisasi.

    ReplyDelete

Top Post Ad