Jamani Embu Tujuzane Kuhusu Kazi ya Usalama wa Taifa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kazi ya usalama wa Taifa ni ya siri sana na pia kuzipata ni kazikwakuwa hazitangazwi popote.Sasa swali langu ndungu zangu je ni njia ipi ya kuomba hyo kazi? mdogo wangu anapenda sana afanye ila pakuanzia ajui na mimi sina ufahamu wa hii kazi afanyeje ili aweze kufatiliwa na wanausalama kama ataweza kukidhii mambo yao nae apate hiyo kazi....Tujuzane Jamani...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kazi ya usalama wa taifa sio siri ndio maana kuna sheria ya usalama wa taifa "The Tanzania Intelligence And Security Service Act 1996" ambayo hata kwenye intanet inapatikana.

    ReplyDelete
  2. Inabidi ashikwe mkona na mtu ambaye yupo kuleee,,once nilitaka kupelekwa nikakimbia mim

    ReplyDelete

Top Post Ad