Jamani Mwenzenu Demu Wangu ni Mjeuri, Anakiburi na Mkaidi Sana Nimfanyeje?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wana Udaku naombeni msaada kwa huyu mdada sijui ata nini nimfanyie anakiburi na mjeuri ajabu akiambiwa tofauti na alivyotegemea ananuna wenda ata asiongee ama kama tunaongea kwa simu anakata na hapokei simu, nikimwambia nitamwacha analia na kulalamika eti nimepata mtu mwingine na ndiyo maana nimeamua kumwachaa,,,, kiukweli mimi ni mwaminifu ila sasa anaifanya niamini msemo ambao mwalimu wangu aliniambia nikiwa form two kwamba kuwa na demu mmoja unatafuta uginjwa wa moyo....kiukweli namppenda san na ndiyo maana sijaribu ata kumchiti ila sasa natamani ata ajikoze mdada mwenye kuhitaji mume tuendelee maana sasa inatosha naumia kiukweli acheni masihara kwa mapenzi yanauma kuliko kuchapwa mboko sure....msaada ata kama kuna mdada ambaye yupo siriasi naomba aje tujenge mahusiano ya kweli mimi naweza kumilikiwa bila ata kusumbua love you wanajamiii mnanielimisha mengi sana!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. utajua mwenyewe

    ReplyDelete
  2. Hiyo juu yako,kusuka ama kunyoa,siri ya mtungi aijuaye kata

    ReplyDelete
  3. AFADHALI WA KWAKO WEWE HAONGEI KWENYE SIMU WANGU MIMI AKIAMUA HATA MLANGO SIKU HIYO HAUFUNGULIWI NA HATA AKIFUNGUA UTAMKUTA PEKE YAKE,NIKIMWULIZA ATAJIBU KAAMUA KWANI NI LAZIMA AONGEE NAMI NA BAADA YA MUDA ANAOMBA MSAMAHA NA KILIO KUWA NATESA!.SASA NANI ANAMTESA MWENZIE YEYE AU MIMI!?.

    ReplyDelete
  4. pole sana. ata mm ushanikuta mkasa uwo uwo lkn nilijikaza japo ilikuwa ngumu na nkaweza kumuacha.. usikate tamaa tafuta demu mwengine

    ReplyDelete
  5. afadhali yako, wangu nikiamka asubuhi kwenda ofisini namwacha kitandani jioni narudi namkuta palepale kitandani yeye na facebook na bbm.

    ReplyDelete
  6. johanness amani29 April 2013 at 22:50

    Dah bora unitumie namba ake nikusaidie kusuruhisha

    ReplyDelete
  7. Ulipokuwa unamfuata ulikuwa peke yako. Iweje mambo yakiwa magumu sisi tuamue? Uamuzi ni wako, kukubali kuwa nae au la!

    ReplyDelete

Top Post Ad