Je Mwanamke Kutoka Nyumbani na Kwenda Kupanga Mtaani ni Sahihi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Heshima kwenu wadau,sasa hivi kuna trend kubwa ya wasichana ambao kidogo unakuta wamejaaliwa kupata walau kipato cha kawaida tu na kuamua kutoka nyumbani kwao kwenda kupanga chumba,je hili mnalionajae liko sawa au sio sawa kwa maana m`ke hata kama amejaaliwa kupata kazi basi akae kwao mpk mungu atakapojaalia kumpata mwenza wa halali,nakaribisha mawzo yenu wadau
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni sahihi kwani naye ni kiumbe kama viumbe wengine ana uwezo wa kutofautisha zuri na baya kwa hyo me kwa upand wangu naoNA NI sahiHi 2

    ReplyDelete
  2. Mi sioni kama kuna tatizo lolote, cha msingi awe na nidhamu na maadili bora.

    ReplyDelete
  3. mi naona ni sahihi tu ilimradi uwezo wa kupambana na maisha anao pia hawe na mahadili mema.

    ReplyDelete
  4. ni vyema ila wengi wanakuwa na mipango ya kuwa free ili aweze kutekeleza mambo yake machafu, kwenda club, ufuska na mengineyo ambayo nyumbani kwa wazazi isingekuwa lahisi kuyatekeleza,

    ReplyDelete

Top Post Ad