Je Unajua Maana ya Tattoo Mpya ya Wema Sepetu?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Amepost picha zikionesha Tattoo Mpya aliyochora Mgogoni ikiwa ni ya Maandishi ya Kichina yenye Maana Potential Kwa lugha ya Kingereza...Katika picha moja Ameandika hivi: It Means Potential......U do da Math.....It means Ametuachia sisi tupige mahesabu kwanini ameweka hiyo Tatuu ya Kichana.....Je anajifunza Kichana Siku hizi au Labda Amepata bwana wa Kichina Or.....Haya U do tha Math Basi Utuambia Why Ameweka hivyo....Share your Comment
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haha,kimasonia zaidi!! Poa bhana,u do da math,its all abt uchawi wa namba'!

    ReplyDelete
  2. hizo tatoo wanazojichoraga cjui zinaraha gan..like wayne ule mwili ushakua gazet

    ReplyDelete
  3. ï¼·ema wewe ni mtoto wa kiislam uhadaike na mambo ya mpito kwani duniani ni sehemu ya kupita huko tunapokwenda ndipo kugumu sana.nakusi sana rudi kwa mungu wako wema.

    ReplyDelete
  4. ï¼·ema wewe ni mtoto wa kiislam uhadaike na mambo ya mpito kwani duniani ni sehemu ya kupita huko tunapokwenda ndipo kugumu sana.nakusi sana rudi kwa mungu wako wema.

    ReplyDelete
  5. ï¼·ema wewe ni mtoto wa kiislam uhadaike na mambo ya mpito kwani duniani ni sehemu ya kupita huko tunapokwenda ndipo kugumu sana.nakusi sana rudi kwa mungu wako wema.

    ReplyDelete
  6. hayo ni mahangaiko tu ya dunia.kwanin uctafte mume ukaolewa ukatulia.lol

    ReplyDelete
  7. BULLSHIT.....sasa atatembea mgongo wazi ili muwezeze kufanya mahesabu yake vizuri.we mzuri lakini daaaah mdogo wangu punguza mapepe,

    ReplyDelete
  8. Mambo yote tunaiga. hakuna lolote. Either awe muslim / christian ama mpagany huu ni uchafu tuu juu ya ngozi ya mwili wako.Huondoa udhu katika moyo wako.
    Na msilolujua ni sawa na usiku wa kiza....ni hayo tuu

    ReplyDelete

Top Post Ad