Kuna kosa lolote kama naamua kufanya mapenzi katika gari yangu na mpenzi wangu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sijui ni ushamba wa polisi ama sijui ni umbumbumbu wa wa tz. juzi usiku majira ya saa mbili hivi usiku nilitoka na mpenzi wangu kwenda kupunga upepe hapo coco beach, tukapiga wine glas mbili mbili tukajisikia hamu tukaona tumalizane tu hapo hapo maana kitanda cha kila siku kimetuchosha. tukaingia kwa gari yetu tukaendelea na starehe zetu, mara nasikia ngo ngo, ati polisi anagonga kiyoo cha gari.

Nikashusha kiyoo, nikamwuliza nikusaidie nini? ati ananiambia niko chini ya ulinzi, nikamwuliza kuna kosa gani? ananiambia ati ni kosa la kufanya mapenzi kwenye gari. nikamuuliza, hii gari na huyu mrembo ni mali ya nani?akasema hajui. nikapandisha kiyoo tukaendelea kubanjuana mpaka wote tukaridhika. then nikapiga gari gea tukaishia zetu.

Ombi langu kwa huyo kamanda wao, ajaribu kuwa anawapa semina hawa vijana wake. tena awaonye kuacha hiyo tabia yao mbaya ya kuwabugudhi watu wakiwa ktk starehe zao.wanaudhi sana
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sex in public cyo sawa it is WRONG blaza hukuwa sawa unapaswa kushtakiwa

    ReplyDelete
  2. It seems that both you and your chick have the same reasoning capacity. Thank God kwamba winch la jiji halikuja kunyanyua gari lako. mngeenda kutolea janaba kituoni. shenz type!

    ReplyDelete
  3. What do u mean sex in public!!?? Hayo ni mawazo ya kisenge, watu wako ndani ya gari, wamefunga vioo, gari tinted hio ndo sex in public, police na yeyote anaewaza hivyo ni wapumbavu. Ingekuwa nje ya gari kama mchangani hv hapo ningeelewa, so stupid

    ReplyDelete
  4. Acha upumbavu soma sheria ujue taratibu za nchi zinasemaje,kama ndo hivyo kila mwenye tinted akijisikia anapark pembeni anasex na Mke/Mpenz wake.Inawezeka uliiba mke wa mtu ww

    ReplyDelete
  5. Km hao polisi wanaweza Kuzuia au kulinda usalama hadi ktk ngono basi wapite kila nyumba usiku na mchana wahimize watu kutumia kondom naona hilo litakuwa sawa. Si kuingilia raha za watu..au hawajui utamu wa ngono nje ya kitanda nn?

    ReplyDelete
  6. kama sioni kuwa nami mjinga ningethubutu kuwaita wajinga wa mambo kwani kwenye gari ni hadharani?basi na hotelini ndio vivyo hivyo washamba tu hao u gys ilimradi upo chamber na umefunga vioo hata kariakoo .

    ReplyDelete
  7. haikuwa tinted kioo ndio maana mkaonekana ufuksa mtupu mnafanya wazi ili mwonekana mnajua sanaa!!!!! pumbavuu zenu hamana maadili um feeling pity kwa hao watoto wenu "kama mkipata any way"

    ReplyDelete
  8. Ndugu zangu, Kufanya mapenzi ndani ya gari sehemu yoyote ile duniani, ni MAKOSA MAKUBWA. Especially nchi za ULAYA. Kweli nakubaliana na mdahu hapo juu someni sheria za nchi jamani. Narudia tena. KUFANYA MAPENZI KWENYE GARI NI KOSA. MSHITAKIWA/WASHITAKIWA WANATAKIWA KUFIKISHWA MAHAKAMANI. Mmlikuta polisi hasiyejua sheria ndo maana aliwaachia. Nendeni mkatembelee huko Ulaya mfanye huo ujinga muone sheria zinavyofanya kazi.
    Kwa wote wasiofahau hilo naomba niweke wazi hilo watu wa ulaya kweli wanavuka mipaka wanakiss hadharani lakini hawaruhusiwi kufanya mapenzi hadharani kama Kwenye gari, garden, etc. Maana sehemu hizo ni public.

    ReplyDelete
  9. Nilikuwa Sijui kama kufanya mapenzi na mkeo/mchumba ukiwa ndani ya gari ni kosa. Nashukuru kwa kutujuza lkn vizuri zaidi kama ungetutajia na kifungu katika sheria zetu Ili tufaham zaidi

    ReplyDelete
  10. inawezekana sheria hairuhusu lkn mnaofanya hvyo hakikisheni mko sehemu isiyo na movements nyingi za watu alafu hamuonekani(tinted)...anakayewaona huyo mpiga chabo mkuubwaaa...ukiona gari linatingishika kula kona mind ur own business,sio unataka kushuhudia utamu wa wenzio afu unaishia kupiga puchu..

    ReplyDelete
  11. Makubwa mimi....Mimi fanya penzi kwa gari lol......cheka sana.... carefully!!....lol.....!!

    ReplyDelete
  12. Sheria ziko nyngi mno kwa bongo hii na hazfatwi, hao askar walikuwa wanataka kuf...€&wa.. tu! Gar iko tinted, mtu yuko na mpenzi wake shida iko wap?? Mbna hapa dar kuna matukio mengi hayaripotiwi? Siku nyngine wakijileta km utakuwa uko vzur we to...$ba wote wackuzingue

    ReplyDelete
  13. kuna mijitu humu inajifanya inajua sheria, au inatutanazia imesoma sheria we brother wa sheria soma habari vizuri ndio utangaze kisheria chako watu walikuwa maeneo gan na ni saa ngap, kwahyo ww ukiwa kwnye prkng ya home kwako utaacha kufanya coz ya msheria wako wa kihaya hahahahah!!

    ReplyDelete
  14. Pole sana Kaka mungemrushia chupi machoni huyu. Coz hAkuna wazinz wakubwa kama hawa

    ReplyDelete
  15. kama sheria waseme kifungu gani?tusizinguane, wakaangalie kwanza tafsiri ya public kwenye sheria

    ReplyDelete

Top Post Ad