AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baada ya kutamba na kufanya vizuri sana na ngoma yake ya Kesho alioifanya kwa Marco Chali, sasa msanii Diamond ameamua kuachia ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la ''MAPENZI BASI''.
MAPENZI BASI ameifanyia ndani ya Studio za AM Records chini ya Producer Maneck.
Be the first one kuisikiliza ngoma hii hapa chini :
Click Hapa Kuusiliza Ama Kudownload
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK