Lecturer Alinifungia Ofisini,Alinichania nguo Nakutaka Kunibaka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habar wa Udaku
Polen na majukumu. Hivi karibun nilikwenda kuhakiki course work yangu kwa mwalimu husika wa somo hilo lakini nilikuwa napigwa danadana.Kila nikienda ananiambia anahudumia watu wengine nakunipangia muda wa kuanzia ucku.

Mara ya kwanza aliniambia atanijazia lakini naye kuna kitu anakihitaj kutoka kwangu.............nilipo hojo ni kitu gana akaniambia ninakimiliki mwenyewe na hakihitaji tume kuamua, Nikaondoka nakurudi tena zaidi ya mara 3 nakuahidi kuwa atanijazia lakini cha ajabu Nilipokwenda kwa Hod bado haikubadilishwa, nikaamua kurud kwa mwlm lkn kilichofuata nikunichania nguo nakutaka kunibaka oficin kwake nilijinasua lkn nijigonga kwenye ukuta na kupasuka puan.

Naomba mnisaidie wana udaku maana nimelirudisha swala hilo kwa Hod lakin nae amesema atalirudisha kwa mkuu wake.Nilimrekod katika simu mara zote nilipokwenda kwake isipokuwa siku ambayo aliyonichania skintight na kutaka kunifanyia huo unyama..............!
Naomben msaada wenu pliz coz mm na yeye tumefikia pabaya sana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole sana,malecturers cku zote ndo kaz kutaka kuwa2mia dada zetu hilo suala c ungemuona dean of students atakusaidia

    ReplyDelete
  2. Umbea tu ushafanywa na wangapi mbona hujasema humu. Huyu analipi jipya

    ReplyDelete
  3. Umbea tu ushafanywa na wangapi mbona hujasema humu. Huyu analipi jipya

    ReplyDelete
  4. heee kufanywa kwa ridhaa n tofauti na kubakwa wewe hv una ndg kweli mmmh?!?!?! pole sana jmn kwan kwa huo ushahidi ulinao hwez enda polis wakakusaidia kweli maana hao walim wenzake wanaweza kukuzungusha ili wafichiane dhambi zao tu

    ReplyDelete
  5. Inaonekana ulijua mapema lengo la huyo lecturer na ndo maana ulikuwa ukimrecord, sasa iweje ujipeleke huo usiku peke yako? Ok, jaribu kwenda kwa dean of student ikishindikana nenda polisi ila make sure ushahidi unautunza na asikushawishi mtu kuufuta.

    ReplyDelete

Top Post Ad