Movie Gani uliyowahi Kuiona na Kukutoa Machozi?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muvi gani seriously ulijikuta unatoa machozi (wakati unaiangalia au baada ya kuiangalia) kutokana na uhalisia wake kukugusa sana moyoni...achana na ile umeingalia ikakugusa na kuikubali tu kwa kuwa ni nzuri...NO..ILIYOKUTOA CHOZI!!
Sina uhakika kama hii topic ilishawahi jadiliwa humu maana nimejaribu ku search ila sijapata ninachokitaka..
Kwa upande wangu mimi ni hizi..

1. Marley and me
...hii nilivyoangalia mara ya kwanza baada tu ya kuisha nikaingia zangu chooni kujifungia ili nifute machozi maana tulikuwa tunaangalia watu wengi..kila mtu alinyanyuka kivyake ofcoz so sijui wengine kama nao walilia au la..

2. Pursuit Of Happiness
...nilijikuta tu machozi yanandondoka mwenyewe wakati muvi inaendelea..

3. Hatchiko the Dog Story
...inatia huruma sana hii..

4. Armeggedon
...ni SCI-FI movie ila pale mwisho chozi lilitoka kimtindo..

5. JOHN Q

6. Rango (Animation)
...hii machozi kwa kucheka...very touching ila inachekesha balaa..

7. Black Hawk Down

8. Blood Diamond

9.I can Do Bad All by Myself

...Hizi ni baadhi ya nnazozikumbuka harakaharaka...ningependa kuonza na nyingine zaidi ya hizi kwa msaada wenu.....Nipe za Kwako ambazo zilikutoa Machozi..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aisee mm KUCH KUCH HOTA HAI, muvi la kihindi hilo machoz yalinitoka ka mtoto mdogo kwa mara yakwanza!

    ReplyDelete
  2. anodi na jenii

    ReplyDelete
  3. GAS OF MTWARA
    YAan hii ni fulu machozi

    ReplyDelete
  4. Titanic,not without my daughter,sobibor camp,zote hizi ni true movie stories,haki ziliniliza

    ReplyDelete

Top Post Ad