Mpenzi Wangu Akitongozwa Ananiambia_Hii ni Sawa?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 *Wadau wa Udaku , Naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu.
 *Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:

 * kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu.."eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka nini?....akaniambia eti anakuja huku[alipo huyu demu] mm nikamwambia nasafiri, sitakuwepo"

  *Pili, jana kaniambia "mpenzi kuna sms zinachekesha...ngoja nikuforwadie...sms 1 ilisomeka "nakuhitaji"....
Sms ya Pili ipo hv.."leo umependezaa, nataka nije kwako"..hz sms anadai katumiwa na mshikaji anayeonyesha kumtaka kimapenzi

    *Hapa najiuliza ana maana gani kwa haya?

    #Naombeni mniambie, na kufafanua haya.

    Asanteni sana
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. anakuonesha kama yy mzur na huko peke yko,bcse hii ni sumu ya mapenz

    ReplyDelete
  2. We ni mshamba mkubwa, ngoja atongozwe na mtu kama RIZI ONE KIKWETE kama atakuambia chochote zaidi ya kujichotea mahela na kupiga zake kim ya

    ReplyDelete
  3. Hiyo ni kama difence mechanism yake. Kwamba hata kama utakuja kugundua ana mtu, iwe rahisi kwake kukuruka maana tarifa ndo hiyo. Kuwa macho sana. Kwa nn awe huyo mmoja tu aneyemtongoza?

    ReplyDelete

Top Post Ad