Mume Amtega Mke wake na Kumfumania Akila Oroda na Rafiki Ake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Tukio hilo  la  aibu  lilitokea saa 11:00 alfajiri  ya   tarehe  27  march   mwaka  huu baada  ya  mumewe  kuweka  mitego  mikali  iliyopelekea  kumnasa  live  mkewe  akipewa  mambo  na  rafiki  ya  mumewe.....

Kabla ya fumanizi hilo, mumewe  aliaga  anaenda Dar.Mkewe  alimsindikiza  mpaka  stendi  huku  akiwa  na  furaha  tele.....

Jamaa  alishukia  njiani  na  kurudi  kinyemela.....Za  mwizi  arobaini, mida ya  saa  saba  usiku,Gari  lenye rangi  nyeupe   lilitua  nyumbani  kwa  jamaa  na  kushuhudia  mkewe  akitoka  nje  na  kupanda  ndani  ya  gari  hilo.........

Mumewe  pamoja  na  kundi  zima  la  waandishi  wa Udaku-GPL walianza  kulifuatilia  mpaka  walipofanikiwa  kumnasa mwanamke  huyo  na  rafiki  wa  mumewe.....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona hamjamalizia hii story au ni fix

    ReplyDelete
  2. Mbona stori haijaisha aisee! Acha kuzingua bac banaaaa!!

    ReplyDelete
  3. ushaambiwa udaku@ezrah.

    ReplyDelete

Top Post Ad