My Wife Anataka Nimwingilie Kinyume na Maumbile

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani poleni na majukumu ya kila siku. Najua mnaendelea vizuri.
Ndugu zangu nahitaji ushauri wenu kwani nipo njia panda. Mimi ni kijana nipo ktk ndoa kwa miezi mitano sasa. kuna jambo ambalo mke wangu amelianzisha kwa siku za karibuni, mara nyingi tunaposex ananiambia anataka nimwingilie kinyume na maumbile (kula tigo). Mwanzoni nilidhani labda ni mzuka wa mahaba umepanda lakini naona ni jambo ambalo linajirudia mara nyingi tunaposex.
Mimi sijawahi kula tigo na sipendelei kula tigo. Kwa keli najiuliza nifanye jambo gani lakini nakosa jibu. ndoa yetu ni ndoa halali tena ya kikiristo ambayo hairuhusu kujamiiana kinyume na maumbile.
Wanajamvi naombeni ushauri wenu ktk hili.
Ahsanteni
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. si mkeo bhanaa! We kula tigo sa unataka nan amle we vipi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kula tigo hiyo asije liwa na mwingine aka no gearbox

      Delete
  2. tatizo ni kwamba kabla hujawa nae kuna mtu alikuwa anatumia tigo kwa hiyo kashazoea ila dhambi kubwa sana kaka usfanye hivo

    ReplyDelete
  3. mkeo alishazoea kwa hiyo hapo kazi unayo ila ni dhambi kubwa sana kupakua mavi

    ReplyDelete
  4. Mpige chini asikutumbukize kwenye balaa kwani ukiendelea nae na usipo mpiga kabaang lazima ujue wenzio watakupigia kabaang..

    ReplyDelete
  5. Hakuna ushauri,wewe unasema ndoa yenu ni ya kikirsto na hairuhusiwi kufanya hivyo kwahiyo wana ndoa wa kiislam ndio wanafanya hivo ama? Kama sio hivyo basi ujumbe wako uwandike ktk mpangilio.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona unamawazo potofu kiasi hicho? Yaani ni udini ndiyo uliyoutanguliza tu, pumbavu!!! Nani kasema uislamu unaluhusu au unajishukutu. PUMBAVU KABISA.

      Delete
    2. Tena huyo ndo anapalilia udini shenzi saana kwan kuna neno uislam ameona...!?aache upuuzi...

      Delete
    3. Shule muhimu sana...unaulizwa jina lako nani unajibu "na miaka 15"...maana sasa udini umeingilia wapi hapa khaaa

      Delete
  6. muogope Mungu

    ReplyDelete
  7. Hakuna dini inayoruhusu hilo. Unatakiwa kujua madhara yake katika ndoa yako, kwamba mkeo alishazoea kuliwa tigo kabla yako.

    Madhara wakati wa kujifungua kwa mkeo iwapo mtafanikiwa kupata watoto.

    Kulegea kwa mishipa katika mfumo wa haja kubwa hivyo kusababisha kutoka kwa haja kubwa mara tu anapohisi bila kujizuia.

    Ushauri wangu kwako ni kwamba, nenda kwa daktari wa magonjwa ya kina mama kuhusu mfumo wa uzazi atakusaidia kujua mengineyo mengi.

    ReplyDelete
  8. Wewe umepotea sana. Fuata mafunzo ya vitabu vitakatifu.

    ReplyDelete
  9. ungekuwa kweli hutaki kumla kiboga usingeomba ushauri, una roho mbili zinazo kizana ninavyokuona

    ReplyDelete
  10. Mkeo kazoea hivyo ila wewe achana nae ndiyo salama ysko na kama utaendelea kuwa nae na usipotimiza haja yake atatafuta mwengine nje ya ndia yenu ili atimize matakwa yske,pole sans

    ReplyDelete
  11. Duh makubwa kifupi usidhubutu ni dhambi kubwa,

    ReplyDelete
  12. Anakutest imani, ukijaribu tu kumla nyuma anakulipua kwa wazazi kwamba umeshazoea nje ndio maana hukusita!

    ReplyDelete
  13. mpe talaka tabia yake hiyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ashamla tigo huyu anajishtukia...

      Delete
  14. du! mie simo napita tu naelekea mtaa wa 7

    ReplyDelete
  15. mtaa wa 7 ni wapi huko?tujuze nasi tuje

    ReplyDelete
  16. mie huyooo, afu kama vp nipe mimi huyo mkeo nimfunze maadili!

    ReplyDelete
  17. Kama si muumini wa hiyo idara,mwache huyo mke hakufai hata kidogo

    ReplyDelete
  18. Kwa kweli si jambo zuri kula kaabang, hata kama ni mkeo. cha msingi ongea naye atambue madhara ya kutafunwa tgo. Cha maana uongee naye kwa upole mana ukimkoromea atatoka nje ya ndoa kwa sababu ni kitu ambacho inaonekana ameshakizoea. Kuwa makini kaka asikuletee magonjwa!!!!

    ReplyDelete
  19. duuuuuh lakin cha muhihu kuwa msimamo wewe mwenyewe na kama utaona vp we kula tu kaka coz wajanja wakimpiga atakukimbia then utamlaumu nani? Xo hakikisha unamlizisha mkeo kaka ucje ukaaribu ndoa ndugu yangu........

    ReplyDelete
  20. usipo mpa 2po mtaan atatukuta tutampa sio lazma wew ufanye. Unasusa hahaha

    ReplyDelete
  21. Sio nzuri kiafya na kimaadili.achana nae huyo.

    ReplyDelete
  22. Du anataka mwenyewe hatari wahuni sio watu wazuri

    ReplyDelete

Top Post Ad