"Natongozwa Sana Facebook" Chuchu Hans

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa filamu Bongo ambaye ni mke wa mtu, Chuchu Hans amefunguka kuwa  anatongozwa sana na wanaume kupitia Mtandao wa Kijamii wa Facebook, kitendo kinachomkosesha amani.

Akizungumza na mwandishi wetu, Chuchu alisema kuwa, anachojua yeye mtandao huo ni sehemu ya kukutana na marafiki na kubadilisha mawazo lakini cha ajabu kila akiingia, wanaume kibao wamekuwa wakimtaka.

“Mimi kwa kweli kila nikiingia Facebook nakutana na wanaume ambao wananitongoza, mtu anajua kabisa una mtu wako lakini bila haya anatangaza dau na kueleza kuwa, anakutaka, mijitu hii naichukia kweli,” alisema Chuchu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kutongozwa ni Kawaida kwa Msichana la muhimu ni kuendelea Na Msimamo wako
    Wa kuto kubali mwanaume yoyote awe Facebook au sehemu yoyote ile anapo kutongozaa,Na Hata kama utakuja kukubali basi ni vyema nalo ukaliweka wazi..

    ReplyDelete
  2. Mwanamke kutongozwa lazima!km ww sn fb wenzio wanatongozwa kazini,barabani,sokoni hata kwa phone!?? Nn cha ajabu?tutolee kelele pande hizi.....

    ReplyDelete
  3. Kawaida,na ukikaa vinaya tunapita na ww,kwani ww si ilimradi unapata pesa.

    ReplyDelete
  4. ukiolewa jaribu kujiweka pia km mke wa mtu vnguo vnyewe ndo km hvyo utatongozwa mnoo tu mana uko km kbznes zaid. isitoshe wanaume n wawindaji kila wkt wako mawindon wala c kitu cha ajabu kutokewa we nae

    ReplyDelete
  5. Hana lolote apeleke ujinga huko

    ReplyDelete

Top Post Ad