Nature Amdiss Sam Misago Katika Wimbo wake Mpya Baada ya Kumfukuza Kwenye Interview

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Licha ya kuwasilisha malalamiko yake kwenye Facebook kutokana na kitendo hicho, Nature hajaishia hapo na sasa amemchana mtangazaji wa kipindi hicho kwenye wimbo mpya wa TMK Halisi, Fitina.
Katika wimbo huo Nature anachana, “Halafu watu wengine sijui wanakuwaga ni mapimbi, eti msanii kaingia studio na ndala na amevaa pensi hakujua anayosema kwenye Facebook na Twitter sijui kisa hela alizopewa na mameneja feki wasiopenda wa Uswazi, mzomeeni huyo, sasa kazi kwake na raia wake.”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mchane live ucogope hao wala rushwa wamezdi

    ReplyDelete
  2. Safiiiii sn boya yule angekua kavaa mzungu angejichekesha kama shoga

    ReplyDelete
  3. Umefanya vema Kiroboto maboya km Misago wachwambwe wasiachwe na mavi.. Kanda2 ndio maisha halisi ya kiswahi so cha ajabu kipi? Au yeye anajione amekulia kota na ni mtoto wa kisure? Wakati pamba zenyewe mpaka Sharobaro ampe msaada.. Unabisha Misago Sharobaro hakugawiyagi nguo? Amka dogo acha michoro ya kishamba

    ReplyDelete
  4. Nature kabugi, acheni kutetea ujinga, ingekuwa nature yale ndo maisha yake halisi asingefukuzwa, nambienu, nature akienda kwenye matamasha ya mziki huwa anavaa vile? alishawah kuvaa vile alivyokuwa akialikwa kipindi hajawa na umaarufu mkubwa? au kisa kawa maarufu anajua chochote anaweza fanya? amini usiamini, mrisho mpoto angeitwa na akaingia peku na kabukta asingefukuzwa coz ndivyo anavyojiwakilisha hata kwenye mziki wake. pale nature alitakiwa ajue ameitwa kikazi, so atokee kikazi.( kisanii)

    ReplyDelete
  5. kweli kuna maboyaaaa nature safi sana amakweli wewe nikioo cha jamii umewakilisha vyema uhalisia wa maisha huku kwetu

    ReplyDelete
  6. yule misago mjinga nature alijiwakilisha yy mbona kwenye shooting nature kavaa singland na pensi km mrisho mpoto xaxa utata uko wap angekuwa mzungu kangeanza kujitongozesha f***ck misago ur suck

    ReplyDelete
  7. Guys tusishabikie ujinga tatzo halikua kandambili tuu mi niliangalia show nature alikua kalewa mbaya na alikua anaongea maneno hata yasiyoeleweka pia,alikua kavaa vest nyeupe nyepese maalumu kwa kuvalia ndani ya nguo?!
    Na pia Sam hakumtoa yeye kama yeye kuna sheria za radio na pia kuna muandaaji wa kipindi.
    Good job Sam wasifanye sehem ya kazi ya mtu kama choo.

    ReplyDelete
  8. Big up Sam nimekupenda

    ReplyDelete
  9. Sam big up nature hoi

    ReplyDelete

Top Post Ad