PHOTOS: Lulu, Mama yake, Mama Kanumba Watembelea Kaburi la Marehemu Kanumba Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu, ambaye ana kesi ya kuhusika na kifo cha msanii huyo, yuko nje kwa dhamana. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wamezugazuga gerezan ili hacri zipungue kwa maxhabik wa kanumba..czani tena ka kuna kesa kwa lulu..ndo ixhakata ivyo

    ReplyDelete
  2. Khaa hv kwa akili ya kawaida kabisa unaweza kusema Lulu alimuua kanumba kweli? Mamake Kanumba kedhajua ukweli ndo mana hana noma na Lulu ila majaji watakomalia hio kesi ili wapate posho tu wanajua fika hakuna kesi. Ni common sense tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad