Picha: Mtuhumiwa wa mauaji ya padri mushi mahakamani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) akiongozwa na Askari polisi kuingia katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kusikiliza kesi inayomkabili.

Mtuhumiwa wa Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) akiwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kabla ya kesi yake kutajwa mahakamani hapo.
Picha zote na Haroub Hussein
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa kumwangalia tu mtuhumiwa unaweza pata majibu yote, huwezi kutabasamu kama hujaua, utakuwa unawaza maisha na familia yako itaishije. Imagine mtu kama huyu ambae kawa brain washed kiasi hiki utamweleza nini akuelewe just to make the world a safe place no matter anadhani kwa kiasi gani ukristo umemfanya awe fundi seremala ingawa hajui hata kwa nini mbao hupinda ikikauka ila anajua tu huwa zinapinda, anataka share sawa za maisha na vyeo apelekewe nyumbani.

    ReplyDelete
  2. tuseme ni kweli yeye ndie alieua kweli au wamemfananisha na picha iliyochorwa imefanana nae tu,mi mbado sijahamini kama ni yeye kwelio na nani kamtuma na hana wasiwasi kabisa kwa sababu anajua atatoka tu kwa mambo ya zenji utasikia hana hatia huyu mtu,watuambie wamebaini nini kama ndie yeye

    ReplyDelete
  3. kila achekae haimaanishi kama anafura jamani


    ReplyDelete

Top Post Ad