Picha Sita Nyingine zaidi ya Kanga Moko laki Si Pesa-Kufuru

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



 Hapo  wanafanya  mapenzi  live  japo  hawajavua.....Iko  haja  ya  kuwakataza  watoto  kushiriki  show  kama  hizi....kwani hazina Maadili Kabisa...

 Huyu  hata  chupi  hana.Ni  kanga  tu  tena  imefungwa  upande  mmoja.Haya  madanguro  ya  uchi  yanakera  sana...
Wewe Mdakuzi unasemaje kuhusu Style hii ya Kanga Moko ? Je kuna Ulazima Serekali kuingilia kati ?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hakuna video yao?

    ReplyDelete
  2. hii balaaa! Huyujamaa akiondoka hapo lazima abake!

    ReplyDelete
  3. Safii sana tunataka vitu kama hivi KaKa

    ReplyDelete
  4. hawana mshipa wa aibu hao..i dont like it...fanya ki2 ukijua kuna Mungu anakuangalia..

    ReplyDelete
  5. Swala la watoto hapo ni kosa kwani hao wanacheza klbu na shoo za usiku. Serikali haina lawama ilishawakataza kufanya mchana shio zao

    ReplyDelete
  6. Ndio lazima serekali itazame swala hilo huo ni utovu wa nidhamu kabisa.

    ReplyDelete
  7. maovu pia ni v2 ambavyo huchangia kuleta maafa na neema za Mungu ka mvua kupungua

    ReplyDelete
  8. hatuwezi kuodosha dhiki ya maisha tuliyonayo kwa kumuudhi mungu,lazima turudi katika mstari.

    ReplyDelete
  9. Hivi na hawa wanafamilia kweli

    ReplyDelete
  10. Ukiona Picha kama Hizo laivu si ndo Kuongeza vitendo vya Ngono kwa sababu mimi nimeona tu kwa mtandao zimeniathiri je yule aliyeona live

    ReplyDelete
  11. safi kabisa acha wale good time

    ReplyDelete
  12. Wacha tupete burudani

    ReplyDelete

Top Post Ad