AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hii ni michoro ya awali ya kuonyesha sura ya Kawe jijini Dar es Salaam patakavyokuwa (karibuni) kama mradi huu utaisha...
Unadhani vitu gani vinaweza kupelekea kufanikiwa au kutokufanikiwa kwa mradi huu?
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Tumechoka kuoneshwa michoro na majengo yasiyo kamilika? Hivi watanzania tujiulize n lini.
ReplyDeleteKweeeeeeeer aise maaana huo mchoro wa 6 tz kama sikosei wa barabara,kgmboni,kawe,k/koo,daraja,mwisho watatuchora na sisi badae tutakavyokuwa
DeleteUfisadi na wizi aw Mali za umma bila huruma kwa baazi ya viongozi wa ngazi za juu ni hayo tu!!!
ReplyDeleteTutoleeni upuuzi wenu nimechoshwa na ahadi za kitoto za serikali isiyojitambua.. Wizi mtupu.
ReplyDelete