Sintah"Mimi Sisemi Mengi Mliniomba Nifuatilie Kuhusu Diamond na Irene Uwoya Haya Ndio Majibu Yangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Haya Chini ni Maneno ya Sinta
"Sincerely, mmenishangaza na comments zenu kuyaamini magazeti, mengine yameandika hiki ama kile sasa nataka kukwambia si magazeti yote yanaandika ukweli, jana usiku wawili hawa walikuwa tight na kukumbatiana century cinemax  na lile baridi kama nawaona.

Mimi sisemi mengi mliniomba nifuatilie na haya ndiyo majibu,,,, Diamond na Irene si wapenzi

I do the seeking and you do the judging" Sintah
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acheni.kutuzaga ss wajinga nyny..uo mkono co wa uwoya bali ni wa vd penny na pic iyo umeitoa instagram kwny profile ya penny

    ReplyDelete
  2. Sasa si ndio maana kasema kuwa diamond na irene "sio wapenzi"...ama mwenzetu umeelewa vipi?????

    ReplyDelete
  3. kwaiyo mnatufanya cc ni mazube???????atujui mchele na chuya w
    ajinga

    ReplyDelete
  4. Sintah acha ujinga, huwezi kusema si wapenzi hila ushahidi wowote kuthibitisha madai yako. Magazeti uametoa picha ambao ni ushahidi na wahusika hawajakanusha wewe unawakanushia tena with simple statement siyo wapenzi!!!

    ReplyDelete
  5. acha watu wafanaye wanayotaka ilimladi hawavunji sheria ya nchi - Diamond anaweza kumkaza yeyote mpaka hapo atakapo oa - hata wewe sinta akitaka na mkakubaliana anakula mzigo tu

    ReplyDelete
  6. hata hivyo inshu ya toto irene ni tamu sana so ni halali.

    ReplyDelete
  7. Sintah kwanini unawajibia, Ulitegemea wakuite ushike paja wakati anaingiza? Jirengeshe na wewe uone kama ujanyonyeshwa mb........., huyo ndio diamond aka domo haangaliii.

    ReplyDelete
  8. ujinga mtupu, kwani hatujui mnafichiana siri ila kwa Mungu hakuna kificho, picha tumiziona hadi wanapoingia chumbani kufanya uovu wao au picha nazo zinaongopa siku hizi?!?! acha uongo sinta, hapa unakimbia lawama

    ReplyDelete
  9. Mi hata siamini kama irene anaweza kutoka na diamond ni mdada ninaejua anajiheshhmu.jamani magazeti sio kitu kdg tumnakipublic kabla hamjajua ukweli wake.irene angekuwa kafanya hvy angelipinga km wafanyavyo wengine kukataa hata kama kweli.jamani mwacheni irene atulie na mume wake msiwafanye wagombane na kutengana tena.

    ReplyDelete
  10. Kwanza wewe Sintah nakuapia kuwa mwaka huu hautaisha tutasikia Diamond keshakukza na wewe pia. Diamond kumkaza Ireze siyo lazima awe mpezi wake, kwani anajua kuwa kaolewa na Ndiku; yeye alimkaza Irene kama malaya fulani tu wa kukaza na kusahau mara moja.

    ReplyDelete

Top Post Ad