google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Sipati Hamu Japo Napenda Ngono, Nitafikaje kileleni? | UDAKU SPECIAL

Sipati Hamu Japo Napenda Ngono, Nitafikaje kileleni?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Poleni na kazi, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, na nimechumbiwa. Tatizo langu ni kwamba sijawahi kujisikia hamu ya kufanya mapenzi na wala huwa sitamani kufanya ngono, lakini huwa napenda kufanya mapenzi japokuwa hamu haipo kabisa na hivyo huwa naumia kwani kufanya mapenzi bila ya kuridhika na wala kusikia raha ni kazi

Wakati mwingine huwa najutia kitendo nilichokifanya yaani najuta kufanya mpenzi, Nifanyeje ili na mimi niweze kufika kileleni kwani wasichana wengine wanasema wanasikia raha sana...Naomba mawazo yenu...
My e-mail...Rachel2020@gmail.com
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jaribu kumuona daktari atakupa msaada unaoutaka.

    ReplyDelete
  2. kama ulikeketwaga basi tena

    ReplyDelete
  3. **Wasiwasi wangu huenda umekeketwa sister na km ndivyo hakuna njia ya kurudisha hisia zako dada angu.. Pole sana**

    ReplyDelete
  4. Unadai hupati ham inakuaje tena unapenda kutiana?? Ninachojua mwenye ham atafurahia tendo na maranyingi lazima afike mwisho so atapenda kutiana coz anajua ladha.mi ckuelewi

    ReplyDelete
  5. pole but ucjal tatizo lako limekwish nitakuchek kweny email box yako

    ReplyDelete
  6. pole sana lakn tatizo linaweza kwish endapo utaweka mkazo nitafute kwenye (emanuel nkondola@yahoo.com) ili niweze kukusaidi wala uckate tamaa tatizo lako ni dogo

    ReplyDelete
  7. Unapendaje Ngono wakati husikii hamu,acha kutuzingua we ni mtombanaji mzuri tu.ss tunakufahamu.

    ReplyDelete
  8. Unapendaje Ngono wakati husikii hamu,acha kutuzingua we ni mtombanaji mzuri tu.ss tunakufahamu.

    ReplyDelete
  9. Unapendaje Ngono wakati husikii hamu,acha kutuzingua we ni mtombanaji mzuri tu.ss tunakufahamu.

    ReplyDelete
  10. Unapendaje Ngono wakati husikii hamu,acha kutuzingua we ni mtombanaji mzuri tu.ss tunakufahamu.

    ReplyDelete
  11. ili upate msaada eleza chimbuko la tatizo lako!,either ushawahi toa mimba< magonjwa ya zinna mda mrefu, ushawahi bakwa?

    ReplyDelete
  12. pole labda mwanaume uliyenaye humpendi ndo maana

    ReplyDelete
  13. wewe unaelekea unapenda tigo

    ReplyDelete
  14. pole kwelilabda mwanaume humpendi nitafute kea namba 0716810067

    ReplyDelete
  15. pole mway....jalibu kumuona doctor

    ReplyDelete
  16. HAujampata mwanaume mwenye uzoefu wa hayo mamboz.

    ReplyDelete

Top Post Ad