Thinking aloud: Je Lwakatare alitumwa na CCM?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Anything goes in war. Na kwa sasa Chadema ipo vitani dhidi ya CCM,with the latter fighting for survival.

Hivi kwa wanaoijua Chadema kiundani, allegience ya Lwakatare kwa chama hicho ilikuwa kubwa kiasi gani? Na hata kama ilikuwa kubwa kupindukia, je hakuna uwezekano kuwa fedha za kifisadi zimetumika kumlainisha?

Mwanzoni nilipoona ile video ya Lwakatare akili yangu ilielekea kwenye wazo moja tu kuwa ni hujuma za CCM. Sasa naangalia suala hilo kwa mtazamo tofauti kidogo.

What if Lwakatare alikuwa anafahamu kuwa anarekodiwa,na alikuwa anajua video hiyo itakavyoipa Chadema wakati mgumu?

So far,inaelezwa kuwa Lwakatare mwenyewe amekiri kuwa alisema baadhi ya maneno ktk video hiyo.Ni yapi aliyosema na yapi "aliyopandikiziwa"?

Yah,labda Ludovick alitumwa na Mwigulu afanye recording hiyo lakini what if Mwigulu,Ludovick na Lwakatare lao ni moja ktk ishu hiyo?

Tuweke ushabiki kando. Maelezo ya Tundu Lissu kuwa wamenasa mawasiliano kati ya Mwigulu na Ludovick hayajibu swali "KWANINI LWAKATARE ALIONGEA HAYO ALIYOONGEA (tunaambiwa amekiri baadhi ya maneno yaliyomo kwenye video ni yake)?

Pengine kama ilivyoshauriwa na Zitto ni vema Lwakatare akachunguzwa.

I stand to be corrected
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acha kutetea..kama kimenukakimenuka 2..

    ReplyDelete
  2. Za mwizi arobaini chadema kimenuka sasa wanatapatapa kumsaka mchawi wanasahau kikulacho kinguoni mwako. Watawapandikiza kina mwigulu weeew ila lao limejulikana. Mahaini

    ReplyDelete
  3. Bro hii hoja ungeiweka JF ndio mahali pake, huko kuna critical thinkers kama wewe, mi nakuunga mkono mia kwa mia mtizamo huo, Lwakatare , Chemba na Ludo lao moja , haiwezekani mtu mwenye akili timam kuongea hivyo mipango ya mauaji bila kukaguana vinasa sauti hata kama mnaaminiana, siasa haina akili.

    ReplyDelete

Top Post Ad