Ubakaji huu wa mke umenitia minyororo ya majuto kila kukicha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

       Kisa hichi ni changu binafsi kinachoninyong'ochesha kila uchwao. Najua nakosea kukileta hapa kwenye but nimejipanga kukosea.

    Nimeoa miaka mitano iliyopita nikiishi kwa mizunguko ya kimaisha hapa na pale almost ndani ya mwaka ni karibu miezi sita tu ndio nakuwa na familia yangu, kila kitu kikiwa sawia kabisa katika familia yangu isipokuwa jambo moja tu nalo ni tendo la ndoa. Mwaka mmoja baada ya kufunga ndoa mwenzi wangu amekuwa halipi umuhimu sana tendo hili na siku zilivyozidi kwenda ndo kabisa jambo hili linakuwa tatizo as tofauti na mie hili kwangu ni zaidi ya chakula na hata nikilipata kila siku nitalitumikia ipasavyo. Ni muda sasa umepita na uvumilivu umefikia mahali pa kushindikana nikichoshwa na kitu kinaitwa "ratiba ya mapenzi". Naita ratiba nikimaanisha kuwa katika kila wiki inayopita nitaambulia chakula hichi cha ndoa only once nikikariri zaidi jumamosi as siku nyingine hata nifurukute vipi nitaambulia kipepsi. Swala hili limepelekea kuibuka kwa hasira za mara kwa mara hata mahali panapohitajika uvumilivu kidogo tu katika mambo ya kawaida. Nimejaribu kufanya mazungumzo mara kibao nikielezea hisia zinazonikabili na kufikia muafaka wa kulifanyia kazi jambo hili na mara mbili tatu naweza kuona mabadiliko kidogo kwa yeye kunitaka mwenyewe kulifanya tendo la ndoa japo kwa single shot lakini sas imefika mahali pa kukata tamaa ya kuliongelea tena.

    Now shida inakuja hapa. Tulalapo huwa sipati usingizi wa maana bila kumkumbatia mke wangu, ninaposhtuka usiku, ule tu mgusano huwa unaamsha hisia kali za mapenzi, ukizingatia response ninayoipata pale jaribio la kuchombeza linapofanyika na kupata majibu hasi,..basi naishia kukumbatia hadi nashusha mzigo bila hata kupewa chakula chenyewe, na mara nyingi huwa nakuwa nimemchafua mwenzangu pale ambapo mjomba anakuwa amegusa mwili wake na mara nyingi ni karibu na uke wake. Sasa imekuwa ni kawaida kwa athumani wangu kusindwa kulala hata kama nitasinzia usingizi wa kifo hadi kufikia kushusha mzigo kiasi ambacho imenilazimu kuanza kulala na kataulo kadogo cha kumfuta mwenza asije akaamka na kukutana na mzigo ukiwa umetanda maeneo japo marakadhaa amekuwa akiamka kabla sijabaini mzigo kushuka na kifuatacho kinakuwa ni ugomvi heavy. Siku zilivyozidi kusogea zikiwa na muendelezo uleule wa ratiba za unyumba na makubaliano yasiyotekelezwa sas imefikia kushusha mzigo mara nyingi zaidi hata kama sijasinzia na unaposhuka mara ya pili asumani hujikuta kashapita mlangoni mwa mama watoto mwenyewe kutokana na utelezi wa mzigo wa kwanza.
    Huu ni wazi kabisa ni ubakaji ulionishinda kabisa kuukabili ili usitokee unaopelekea ugomvi mkubwa pale mwenza anaposhituka, na kuambatana na majuto kwangu siku nzima inayofuata. Niseme wazi jambo hili sasa limekuwa la kila siku cha ajabu sasa katika miaka yote minne ni mara mbili tu ndio mwenzangu kanishitukia na kuzua ugomvi huo lakini wakati mwingine wote uliobaki huwa najigombeza mwenyewe kwa kweli kwa kuona sio fea kufanya hivi ila inaibuka hoja nyingine tena pale ninapojilaumu kuwa nifanye nini sasa na mie nazidiwa na kukosa msaada..then nasahau hapohapo kuwa ni makosa kufanya vile.

    Wakati mwingine najiweka kwenye nafasi ya mwanamke na kujiambia ingekuwa ni mie kile kitendo tu cha kuamka usiku na kumkuta asumani wa mume amesimama na kunigusa na joto lake kwa kweli vyote vilivyolala vingeamka ndani yangu kwa msisimko, sijui labda wanawake wa humu mnijuze tofauti katka hili (enyi kina @lara1 Madam B Smile Roulete na wengine) msaada tafadhali.
    Waumini wenzangu msaada tafadhali nitakabiliana vipi na jambo hili ikwa mara hii ya pili kushtukiwa na mwenza imekuwa critical zaidi kwa yeye kutamka wazi kuwa amefeel kubakwa na akasema hajisikii tena kufanya mapenzi, she admited "i hate sex". Nitakuwa mgen wa nani jamani mie mwenzenu??
Salam kwenu waumini wenzangu wa jukwaa hili...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole san kaka.cha muhim tafta mwanamke mwingine uoe.kwanini upate shda.

    ReplyDelete
  2. Mtafutie mwanamke huyo

    ReplyDelete
  3. mmmh huyo kweli hapendi tendo kabisa ila atakuwa na tatzo c bure m huwa hta km cjiskii mtu akinchezea chezea najkuta m ndo nasema ingiza sa huyu mwanamke mwenzangu mmmmh

    ReplyDelete
  4. Pole kaka,hapo umeingia chaka,tafuta mwingine,utagongwa na magari bure kwa kuwaza.

    ReplyDelete
  5. Pole kaka,hapo umeingia chaka,tafuta mwingine,utagongwa na magari bure kwa kuwaza.

    ReplyDelete
  6. Mpeleke mke wako akatibiwe kwa psychologist au mtaalamu yeyote wa mambo haya. si bure atakuwa anaumwa

    ReplyDelete
  7. anaweza akawa anasumbuliwa na majini mahaba au maroho mabaya ya kishetani siyo bure mpeleke kwenye maombi pia na kwa hao washauri

    ReplyDelete
  8. Labda hujatuambia kama kwenye ndoa yenu mmejaliwa kupata watoto na kama mkeo anatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.kama anazitumia zaweza kuwa kichocheo kwani kwa wanawake wengine zinawaondolea hamu ya mapenzi kabisa na hata akifanya anaishia kuchubuka. Naonelea uzoefu lifanyie kazi

    ReplyDelete
  9. Ndugu yangu kwanza nikupe pole sana. Ila Usishangae nikikwambia hata mimi yamenikuta hayo kwa miaka 12 ya ndoa yangu.
    Afadhali wewe unapewa japo mara moja kwa wiki. Mimi niliburuzwa hadi kufikia mahali ikawa ni nadra kupewa japo mara moja kwa mwezi. Pamoja na malalamiko mengi niliyoyawasilisha kwa wasimamizi wa ndoa yetu, ilifikia mahali nikaamua sitahusisha mtu mwingine yeyote kwenye suala la mahusiano ya ndoa yangu. Uvumilivu ndio ulionifanya nikadumu mkimywa kwa miaka 12, japo tulifanikiwa kupata watoto 2 wanaofanana na mimi kupita maelezo.
    Ila pia suala la kumuingia kwa lazima pia sijui kwa upande wako, ila kwangu niliona kama ni ubakaji na nilimweleza kwa uwazi kuwa sitambaka hata siku moja. Kuna kipindi nilipata demu mwingine, yeye alipogundua alitaka kuniua kwa kisu nikiwa usingizini lakini nikamuwahi kabla hajatekeleza unyama huo. Akaamua kuhama (kuniacha) ila baada ya siku chache akarudi na kuniomba msamaha. Kwakuwa nilikuwa nampenda niliamua kumsamehe, lakini baada ya miezi michache hali ileile ya kunyimwa unyumba ikajirudia. Alifikia mahali pa kuhama chumba na kulala na watoto. Mimi niliamua kubakia mpweke na muaminifu kwenye ndoa yangu. Hivi majuzi akishirikiana na kaka zake waliamua kuniibia kila kitu na kumhamishia kwa kaka yake.
    Kuanzia hapo nikaamua kutafuta msichana mwingine. Na sasa ninafaidi sana penzi letu. Kwani wakati mwingine ninapewa kwa kulazimisha. Hadi siku nyingine ninapewa mara nne kwa siku kama dozi. Ingawa sasa ananiomba msamaha tena ili turudiane, lakini mimi nimeamua inatosha. Uvumilivu wa miaka 12 umetosha kabisa. Ukizingatia penzi ninalopewa sasa hivi ni moto kwelikweli. Si ajabu sasa hivi akirudi kitu cha kwanza ni bao, cha pili ni tutoke twende kwenye hoteli yoyote tukamalizie mechi ya kirafiki kwenye uwanja wa ugenini. Nakushauri vumilia. Itafika mahali atajirekebisha ama itakuwa kama yangu akiamua kuondoka usimzuie. Ingiza kitu kipya fasta...

    ReplyDelete
  10. wanawake hao niwazi hawana CLITORIS, itakua tamaduni zao zilikua zina shiriki FEMALE GENITAL MULTILATION(FGM)

    ReplyDelete
  11. Du yani haya mambo ni kila upande mimi niko kwenye ndoa miaka 6 sasa tumejaliwa watoto 2 lakini Hilo tendo kwa mwaka nalipata Mara 2 yani mi nilishakata tamaa, nikaamua kua niwe nafanya mazoezi nikamweleza mume wangu kuwa wewe si unaninyima basi nafanya mazoezi naamka sa9 na nusu usiku natoka sa10kamili naanza kukimbia na wenzangu. Yani yeye ndo kafurahia ili nisimsumbue, tena huwa ananiamsha nenda wewe kwenye mazoezi, yani huwa namshangaa sana sana na sielewi maisha yangu yatakuwaje na huyu mtu mana naathirika kisaikolojia kabisa.

    ReplyDelete

Top Post Ad