Wimbo la Ngono Kufanyika Ndani ya Magari lazidi Shika Kasi Dar-Embu Ona Hawa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 KUFUATIA vitendo vya usaliti wa ndoa, uasherati, ufuska na ukiukwaji wa maadili ya Kitanzania kwa wanandoa, wiki iliyopita Ijumaa iliendelea na Operesheni Fichua Maovu kwa kuzunguka jijini Dar usiku wa manane na kunasa tukio la mke wa mtu akifanya uzinzi ndani ya gari.


Kabla ya kufanya operesheni hiyo, waandishi  walitaarifiwa kwamba Wilaya ya Kinondoni jijini Dar ndiyo inayoongoza kwa wake na waume  za watu kufanya vitendo vya ngono kwenye magari.

Maeneo yaliyodaiwa kwamba wazinzi hao hupenda kuyatumia ni Coco Beach, Leaders Club, Mlimani City na sehemu kubwa ya vitongoji vya Sinza na Mwenge, Dar.


Mbali na waume na wake za watu, wengine wanaotajwa kufanya vitendo vya ngono ndani ya magari ni mastaa wakubwa ambao wanaogopa kwenda kukodi vyumba mahotelini na gesti wakihofia watajulikana kutokana na umaarufu wao.




-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. gest bei ghali xn so inabidi jamaa achape kwenye gari

    ReplyDelete
  2. Hao nao ni wambea yao yanaonyeshwa na nani?wanawatamania wenzao ndio wakawatoa kwenye magazeti

    ReplyDelete
  3. Hakuna penzi tamu kama la kwenye gari bwana... milango si inakuwa imefungwa? tatizo nini? noma kufanya hadharani... jaribu siku moja uone...

    ReplyDelete
  4. Ingekuwa kijijini tungesema hawajui dini wala nini...ila hao nikama watu wa sodoma na gomora.

    ReplyDelete
  5. acheni watu na maisha yao bhana kwni wamevunja sheria gani...kwenye gari la m2 unaenda kuchungulia ili iweje...!

    ReplyDelete

Top Post Ad