Adamu Mchomvu Akanusha Kuhusika na Status ya Facebook iliyopostiwa Kwenye Account yake Kuhusu Picha za lady Jay Dee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Baada ya Account ya Adamu kuandika Status kuhusu picha chafu za lady Jay Dee Muda mchache ulio pita Ameandika Status hii Hapa chini :

"Naomba kuchukua nafasi hii kuomba radhi kwa yeyote aliyekwazika kwa maneno machafu yaliyoandikwa kwa wall yangu, na pia naomba nieleweke kwamba sihusiki na chochote kupost au kuandika chochote kuhusu kikwete foundation na picha za jdee ukiwa naked, sina ugomvi na yeyote naheshimu hisia za kila mtu nikiamini kila mtu Anamaamuzi yake.. Aliyeamua kutumia jina langu kufanya hao najua sasa unajiskia vizuri baada ya matusi mengi niliyotukanwa.. Maisha hayaishii hapa siku zinaenda na ukwali utafahamika siku moja ... Mchana mwema !!"

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ziumiazo ni nyika

    ReplyDelete
  2. Adam so beach faccccccccccc

    ReplyDelete
  3. Katumwa huyo angekataa angekosa ugali wa kumpelekea Joniiiiii.Ruge na Joseph wameamua kuendesha propaganda zao kwa remote huyu Adamu anatumiwa tu na njaa yake itamfikisha pabaya

    ReplyDelete
  4. Dah, pole sana Kaka, aliyetenda huo ujinga kajiona mjanja, mjuaji mwenye busara, ila akumbuke hakuna kisicho na MALIPO! Na malipo yake ni hapa hapa duniani.

    ReplyDelete
  5. Mtasema yote team anaconda tuko juu.tafuten njia nyingine kumchafua huyu mdada

    ReplyDelete

Top Post Ad