Alikua akipelekwa nyumbani kwake kwa upekuzi zaidi,Inspector Isaac
aliyekua kiongozi wa askari wakimsindikiza ashikiliwa kwa uchunguzi
zaidi,mwenzie pc George afikishwa mahakamani leo.
Wamemuachia huyo hawana lolete Kama mnajua mko na mtuhumiwa ambae amepitia mafunzo ya uaskari kwa nini asiwekwe chini ya ulinzi mkali?pingu mokononi na miguuni atatorokaje?Njama zenu mtafuteni mpaka mumpate!!!!!hatuwaelewi.
Tanzania yetu ni kama taka taka za kariakoo kila mtu anatupa tuuu muokotaji hakuna
ReplyDeleteAmeiva hyo!
ReplyDeleteAmeiva hyo!
ReplyDeleteAmeiva hyo!
ReplyDeleteWamemuachia huyo hawana lolete
ReplyDeleteKama mnajua mko na mtuhumiwa ambae amepitia mafunzo ya uaskari kwa nini asiwekwe chini ya ulinzi mkali?pingu mokononi na miguuni atatorokaje?Njama zenu mtafuteni mpaka mumpate!!!!!hatuwaelewi.
Hakuna kitu hapo, achane danganya toto wasituzuge tunawajua vizuri sana police hii ni Dili imeundwa muwatoroshe kwa style hii
ReplyDelete