Ashley Toto Msanii Mpya wa Movie Anaye Chipukia Nje ya Nchi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Ashley Toto mwanadada mzaliwa wa Kenya ambaye anaishi Germany kwa sasa anatarajiwa kuigiza na tayari ametoa filamu ndogo iliyopo hewani kwa sasa kwa jina la "MOYO WANGU" katika filamu za Kiswahili zinazotengenezwa nchini Denmark ili kuunganisha nguvu za kutangaza filamu na tamaduni za kiafrika nje ya bara la Afrika.Hivi karibu ni Ashley alikua Denmark akitokea Germany kwa ajili ya issue hizo za filamu...... kampuni ya VAD film production iliopo nchini Denmark pia imesema kuwa ni kweli Actress huyo anayechipukia kwa kasi kwa sasa na mwenye mvuto wa kipekee anatarajiwa kuwa kwenye movies watakazotoa. Ashley mwenyewe alipohojiwa alisema alipenda kuwa Actress tangu utotoni na ameamua kujitambulisha katika game hii ya Movie....Na leo hii pia anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.....Happy Birthday Ashley Toto

 Angalia Video moja ya Video fupi aliyofanya Ashley Toto Hapa Chini:



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad