Breaking News:Maskini Msanii M 2 the P Aliye Kuwa na Ngwear Naye Afariki Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taarifa kutoka vyanzo mbali mbali zinasema kuwa M TO THE P ambae walikuwa pamoja na Ngwair South Africa na walipelekwa wote hospitali ya ST. Hellen huku yeye akiwa bado ana hema, leo asubuhi taarifa zinasema nae amefariki.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wamejiua wenyewe hao hakuna kuwasikitikia wabwia unga wakubwa hao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mchezo wako ndio mauti yako,chezea unga wewe!!

      Delete
  2. Wasanii mjifunze kuwa music haiendeshwi kwa drugs hlo ni funzo tosha kwa wale waliobaki R .I .P my brazas

    ReplyDelete
  3. haya wasalimieni kuzimu wape hai mtawakuta wenzenu kibao

    ReplyDelete
  4. mangwea umetangulia tusalimie huko unendako
    na sisi tuko nyuma tunakuja wape hi sana wasanii wa bongo waliotangulia.

    ReplyDelete
  5. mangwea umetangulia tusalimie huko unendako
    na sisi tuko nyuma tunakuja wape hi sana wasanii wa bongo waliotangulia.

    ReplyDelete
  6. Poleni wazazi na ndugu jamaa wa ngwea na mwenzake, tupo pamoja katika huzuni hii ni sisi wana Face book chama la wajanja camp

    ReplyDelete
  7. we unaesema wabwia unga ulimlisha au ufala unakutawala we toa pole za msiba halafu kausha mambo mengi ya nn? kama angekufa na ukimwi ungesema ooooh alikuwa malaya usiwe mswahili kiasi hicho bwege ww, mda wake ulifika we unajua alianza lini kutumia?

    ReplyDelete
  8. we kabla hujapost uwe na uhakika na habar zako,m to the p mbona yuko hai till now,sio unakurupuka utakuja kuchukuliwa hatua za kisheria,jipange uwe na trusted sources sio unakurupuka

    ReplyDelete
  9. nyie ma blogger wa sikuhizi waongo, na habari mnazitoa kwenye bloggy nyingine ndio kama source, embu acheni ujinga tafuteni habari kwenye source husika ndio mzipost kuwa na bloggy na sio fashion ya urembo...

    ReplyDelete
  10. I don't think so if its right to post something you don't know, or you ain't sure simply because you like to be considered as current, sio vizuri, aljisemea Bushoke, andikeni vitu vya uhakika, idiots

    ReplyDelete

Top Post Ad