Diamond Platnumz 'Hizi ndio Sababu Kwanini Nafanya Vizuri kwenye Muziki"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mengi yamekuwa yakisemwa juu ya msanii ambae inaaminika ndiye mfalme wa muziki wa bongo fleva Wapo wanaosema anatumia nguvu za giza ikiwemo ushirikina na wapo wanaosema yuko powered na Imani ya Free mason ingawa TEENTZ tunaamini juhudi na kujituma ndiyo njia pekee ya mafanikio kwa chochote TEENTZ ilipiga story na Diamond na kueleza moja ya sababu kubwa why yuko juu na  na kila siku ananendelea kuwa juu tofauti na baadhi ya wanamzki wengine

1-"Mungu ndio kila kitu kwa maisha ya binadamu,so napenda kumtanguliza Mungu kwa kila nikifanyacho"

2-"Sipendi starehe,kutumia pesa vibaya,naiheshimu sana pesa yangu,matumizi yake makubwa ni chakula,pengine mafuta kwa ajili ya gari matumizi mengine ya mhimu kwa binadamu na zaidi naitumia pesa yangu kufanya kitu kitakachoendelea kumantain muziki wangu"

3"-Sibani pesa kwenye swala la kujijenga kimziki,niko tayali nitumie milioni kadhaa kufanya kitu kitakachojenga status yangu vizuri,mfano kugharamikia mavazi ya shows n.k"

4-"Nampenda sana mama angu na pengine kuna thawabu ninazozipata kwa kitendo hicho"

Hizo ndizo reason chache alizotoa Diamond kuhusu yeye kuendelea kuwa on the pick na ni wazi kabisa ndani ya reason kama hizo ni binadamu wachache sana watakaoshindwa kufanay vizuri ama kupata maendeleo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad