Diva Loveness "kifupi kwa Prezzo nimefika na ndoa soon ili tuweze kuishi kama mke na mume”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Redio,  Loveness Malinzi ‘Diva’ ameifungukia ndoa yake na staa wa muziki wa Kenya, Jackson  Makini ‘Prezzo’ kuwa haiko mbali kwani hatua waliyofikia ni nzuri.

Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni Diva alisema uhusiano wake na jamaa huyo hakuna wa kuutibua na anamshangaa msichana anayejitambulisha kwa jina la Boss lady anayedai ameingiliwa.
“Mimi namshangaa huyu dada anayeniandama kwenye mtandao toka aliposikia nipo na Prezzo, kwa kifupi kwa Prezzo nimefika na ndoa muda si mrefu utapita ili tuweze kuishi kama mke na mume” alisema Diva.
Diva alisema kuonyesha kuwa anakubalika hata kwenye familia ya Prezzo, aliongea na dada wa msanii huyo ambaye alimtuliza kwa kumwambia kuwa asisikilize maneno ya watu kwani yeye ndiye wifi yake wa ukweli.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. teh teh jaman namwombea hyo ndoa ipite la sivyo atakunya mnara wa askari

    ReplyDelete
  2. wenzako walisema ivo ivo....wakaishia ooh sijui ooh!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad