Diva Loveness Love “I so Miss Prezzo, It was Love at First Sight, “YES.. Am Gonna Leave Him over Prezzo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

So kumbe haikumtokea Prezzo tu, ni hata kwa Diva pia, ‘love at first sight’. Juzi tuliandika habari kuhusu Prezzo kukiri kuchanganywa na penzi la Diva ambapo alisema (kwa utani) kuwa anajiandaa kupeleka mahari.. Diva alikanusha kwa kusema kuwa they are just good friends. But now it seems like the Rapcellency has caught Diva’s heart, she is in love and ofcourse…… Yeah, she misses him.

“I so miss @AMB_Prezzo, it was love at first sight,” ametweet.

“He is such a Darling. Such a sweetheart makes me smile always.

Cha kuvutia zaidi ni kwamba Diva yuko tayari kumwacha mpenzi wake sasa na kwenda kuvinjari na mfalme wa bling bling Afrika Mashariki.

“YES.. am gonna leave him over PREZZO. Lol,” ametweet kujibu swali la mtangazaji wa Clouds TV, Lady Haha.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. madem wa kbongo wanapenda sana mapenzi ya kuigiza shoga itakukost umetombwa tu unaanza kuota ndoa nyoooo itakula kwako....unanwacha jamaa ako unatangaza sasa hv nawe utabwagwa na itajaa ktk media

    ReplyDelete
  2. Acha ufala ww dem,hb acha tamaa,mbolo zote n xawa bhanaaaaaa,xo take care ucje ukakoxa zote,& 2mia akil ktk maamuz yako uckurupuke kwa kudatishwa 2 na mwonekano!!!! Af ixtoshe we unaheshmka xana coz ur n a bg pozxion,xo take care dada!!!!!!!!!!!!!!!!!!
    Gd wshez!

    ReplyDelete

Top Post Ad