Diva Loveness Ndani ya Beef Zito na Boss lady wa Kenya Huddah Monroe kuhusu Penzi la Prezzo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vita  kali  ya  matusi  ya  nguoni  imeibuka  kati  ya  Loveness Diva  wa Bongo na Lady Boss  wa  Kenya  kisa  kikiwa  na  PENZI  LA  PREZZO..... 

Mwanadada maarufu nchini Kenya  maarufu  kwa   jina  la  Huddah Monroe leo  ameingia  kwenye  bifu  kali  na   Tanzanian Diva, Loveness Love, kwa  madai  kwamba  Diva  ameparamia  penzi  la  mpenzi  wake  ambaye  ni  prezzo....
  
Mrembo  huyu  anashangaa  kuingiliwa  penzi  lake  na  mtu  kama  Diva....Kwa  upande  wake  anamchukulia  Diva  kama  mwanamke  mchafu, Njiti,asiye  na  makalio ya  kuvutia  na  kahaba......

Naomba  nisiyamalizie  matusi  yao.....Hizi  ndo  tweets  za  huyo  mrembo  wa  kenya...  

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ila wanaume nao hv waweza mlinganisha loveness na huddah mbona n mbingu na ardhi jmn!!!!! hlf wadada wa mujini mkitongozwa na watu wenye pesa huwa mwataka dunia nzma ijue Y?? huwez kukaa kula taratibu bila kelele mnajiharibia

    ReplyDelete
  2. Smtmz Prezoo alitaka tu kusafisha nyota kwa Diva....ss yy akahisi jamaa kamzimikiaaaa matangazo kibao!hahahahaaaa.... Diva anakipi cha kulunganishwa na huyo mkenya? Lol tofauti kubwa!!! Kamekaa km katoto c katoto! Cjui kalipata lishe duni? Yan kamedumaa! Yani huyo mkenya hajakosea yani ukiwalinganisha Diva anaonekana mchafu.

    ReplyDelete
  3. Heeee. I knew it yani huyu diva anatia huruma jamani. Sijui anashida gani. Akaanza mwenyewe kujihashua eti am ready to leave him over przo. My ass.
    Angejua wadada wa kikikuyu walivyo warembo na classy. Du angelia.
    Akaona nyota ya jaha imemdondokea kumbe hajui Kenyans. Diva ni mfupa uliomshinda fisi. Kwanza naskia ukimkiss anakuachia mimate miiingi mdomoni. Loool

    ReplyDelete
    Replies
    1. Daaaah wewe chiboko bana, mbona unamvua ngoa Diva? Nikuambie kitu kuhusu love, usishangae huyo mkikuyu na uzuri wooote akawa ni kwa muonekano tuuu bt kwenye sita kwa sita hajui chochote or anatema harufu, na Diva akawa ovyo muonekano bt hodari sita kwa sita. Sasa mwisho wa siku Diva atashinda game la uchaguzi. Hebu chunguza zaidi ya mimate plz.

      Delete
    2. Hahahaahahahhahahahaha mkenya hajui kupiga nduru tehetehe tehe tehe

      Delete
  4. anaenda kuliwa tigo haa haa haa.

    ReplyDelete

Top Post Ad