Exclusive Video: Anayedai ni mdogo wake Diamond, Saleh Abdul asema ‘Diamond ananikana’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika pita pita zetu tumekutana na kijana aitwaye Saleh Abdul anayedai kuwa ni mdogo wake na Diamond Platnumz. Saleh anadai yeye na Diamond wanachangia baba lakini jitihada zake za kuwa karibu na kaka yake zimekuwa zikigonga mwamba kwakuwa hitmaker huyo anadai kumkana.

“Mimi ni mtu ambaye nina kipaji cha kuimba lakini najikuta kwamba naambulia patupu yaani kukosa msaada wowote, nikimwendea kaka yangu Diamond anashindwa kunielewa, hataki kunisaidia, halafu wakati mwingine ananikana kabisa kwamba mimi sio mdogo wake,” amesema Saleh kwa uchungu.

Tunafanya jitihada kumtafuta Diamond athibitishe kama kweli Saleh ni mdogo wake.Jina halisi la Diamond ni Naseeb Abdul. ANGALIA VIDEO:
TUPE MAONI YAKO Source:Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ama kweli undugu kufaana na co kufanana.!

    ReplyDelete
  2. ama kweli undugu kufaana na co kufanana.!

    ReplyDelete
  3. Dogo kwani mpaka uwe mdogo wa diamond? Pambana utoke kivyako, anaweza kukutafta siku moja.

    ReplyDelete
  4. Ushauri wangu angefanya yake.kwani muziki ni Diamond?yy diamond nani alimtoa?alipigana yy akisaidiwa na mama yake,kumbuka Doreeb ni dada wa Diamond alianza muziki kabla ya Diamond je Diamond alimuomba Doreen msaada wowote? Kumbuka undugu wenu nikupitia baba afu babayenu hakuwalea pamoja kila mmoja kivyake namamayake ss nisaangapi mtakua na upendo wakusaidiana?sioni kosa la Diamond ww mlaumu baba yenu! Diomnd madai yake sapot kubwa ni mama yake so naww km kwel unakupaji saidiana namama yako utatoka haraka kwakua kaka yako keshasafisha njia.PIGANA WW MWANAUME.

    ReplyDelete
  5. Undugu wenu upotu lamsingi pambana na maisha kivyako usimtegemee ndugu kama akitaka kukusaidia ni hiyari yake wala usi mlaumu kwa lolote.

    ReplyDelete
  6. Haya ndio matatizo yetu wafrika ukiwa na uwezo au nje ya kama vile ulaya na marekani familia wote wanaokuigusa wanamini wewe ndio wakuwapa utajiri na ndio baadhi ya watu wakisha fika ulaya ma marekani hawataki tena mawasiliano

    ReplyDelete
  7. me naona hapa huhitaji kurusha lawama kwan inawezekana akakupa support bado usiwe ka yeye kumbu riziki mafungu saba kila mtu ana lakwake so jipange

    ReplyDelete
  8. piga kitabu dogo music baadaye bahati ya mwenziyo si yako

    ReplyDelete
  9. kujipendekeza nako kwingi....!!

    ReplyDelete
  10. Bwana mdogo ategemeaye cha nduguye hufa maskini.
    Hilo moja la pili,kama unakipaji pigana mwenyewe toka kivyako hakuna mteremko usingoje ndugu aje kukusaidia kudadadeki we ni dume bhana unatuaibisha hembu chakarika we vp?

    ReplyDelete
  11. heh...si nikadhani labda umemuomba akusaidie kulipa ada ya shule au hela ya matumizi akakataa
    kumbe unaongelea maswala ya bongo flavor...dogo nadhani huja experience maisha ya kibongo yalivyo magumu especially kama huna elimu eh...soma bana hayo mengine yapo tu

    ReplyDelete
  12. dogo temana naye kwani dam nzito kuliko maji ila kama kaka yako ni mbulula basi hakuna haja kumshobokea usupa staa umemchanganya anajikuta yeye sio mbongo tena dogo tupaa kule ilimradi unakula unaweza fanya yako mteme

    ReplyDelete
  13. sina imani kama abdul juma maarufu kama SUPERSTAR ana mtoto mwingine wa kiume,nimjuavyo ABDUL ana watoto 3 waliohai na mmoja MAREHEMU na miongoni mwao ni MWANAHAWA ABDULL a.k.a QUEEN DARIN,NASEEB ABDUL a.k.aDIAMOND PLATINUMZ BABYYY Mi napenda kumuita NG'ANG'Ana mdogo wao anaitwa AMINA ABDUL ambaye anaishi ZAMBIA kwa shangazi yao, na ABDUL JUMA ana mdogo wake yuko WINGEREZA kama ni huyu ambaye kwa sasa anaishi MANZESE ARGENTINA,basi dogo mwongo labda anatake advantage kwa kuwa wamefanana tuuuu,hiini mbaya kumchafulia m2 kwa minajili ya kukutoa sio poa,mfn mm nafanana na GARDINA G ABASHI haina mana mm na G ni ndugu 2wache mambo izo sio poa we kama unaimba kaza tengeneza mziki mkali raia 2takuelewa,Diamond anaweza kukusaidia na raia 2ckuelewe.DOgo kaza toa ngoma kali diamond atakutafuta na kamzali mkatengeneza DIAMOND SQUARE.P1

    ReplyDelete

Top Post Ad