google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Faida za mabinti wa “kisasa” kupiga mizinga mikubwa mikubwa! | UDAKU SPECIAL

Faida za mabinti wa “kisasa” kupiga mizinga mikubwa mikubwa!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vijana wengi tumekuwa tukilalamika kwamba mabinti wa siku hizi wana mizinga ya reja reja ten mikubwa.
Ila hili jambo ukiliangalizia katika “big screen” ni jambo ambalo linakufanya utafute hela if you really want to be with a girl of your dreams though sio lazima a girl of your dreams awe mpiga mizinga!!!!! Jambo hili zuri nahisi vijana wengi hatujaligundua na badala yake tunalichukulia in a negative way na kubakia tunawalalamikia hawa mabinti, ila kumbe katika hali halisi wanatusaidia. Maana katika hali ya kawaida lets say kama umeajiriwa somewhere, mshahara peke yake hautoshi kumkeep huyo binti unayemuita wa kisasa au wa mizinga! Sasa kulingana na mahitaji yake kuwa makubwa lazima utatafuta njia nyingine za kupata hela tuseme labda utawekeza mahali. Lengo likiwa kuhimili mizinga ya huyo binti na kuendelea kumuweka karibu, ila mwisho wa siku unajikuta katika kuwekeza kwako una make faida zaidi ya hizo demands na kwa maana hiyo unakuwa na salio ambalo unaweza kujifanyia maendeleo yako mengine. Ila kama huyo binti asingekuwa na hizo demands kubwa ungeridhika na mshahara wako, maana utakuwa unawatosha na mwisho wa siku hata kuwekeza mahali huwezi fikiria , na maendeleo yako bila shaka yatakuwa si sawa na yule anayemmiliki binti wa kisasa!!!!!!!!!! Nahitimisha kwa kuwatia moyo mabinti wa kisasa waendelee na moyo wao huo huo wa kupiga mizinga tena mikubwa ili tutoke hapa tulipo kama Taifa!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watatoka wakati washajiozea na wadudu wa Ukimwi .

    ReplyDelete

Top Post Ad