Fastjet ya Dar-Mwanza Nusura Imwage watu Jana!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

   
Mnamo saa Tisa na nusu alasiri wakati ikijiandaa kupaa ikiwa katika spidi kali ktk uwanja wa JNIA ilifunga breki ghafla na kurudi sehemu ya maegesho.Iliserereka kidogo. Abiria waliambiwa kuna tatizo la kiufundi hivyo walivushwa kwenye ndege nyingine ya kampuni hiyo na kusafiri kwa kuchelewa. Ndege hiyo ilitua Mwanza salama mnamo saa kumi na mbili kasoro ingawa abiria wengi sana walikumbwa na taharuki kubwa na wakiwa na wasiwasi sana wakati wote wa safari.

    My Take;

    1) Hii ndege haikuchekiwa kabla ya kuanza safari?? Je ingeruka ndo tatizo ligundulike si ingekuwa balaa kubwa?

    2) Hizi ndege mpya zinazoingia nchini zinakuwa monitored na vyombo vinavyohusika kweli?

    3) Chonde chonde Mwakyembe!

    Source; Mimi mwenyewe nilikuwemo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad