Geti la Stand ya Basi Ubungo Linatuzalilisha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Amini usiamini, matofali unayoyaona ni kama support ya geti la kutokea magari stendo ya daladala Ubungo, kila gari hutozwa kati ya shs 500-1000 kutegemeana na ukubwa lakini hali ya geti ndiyo hiyo............HII NI KWA TZ TU.......Ukichukulia ndio Stand Kubwa ya Mabasi Kuliko zote Tanzania....Na watu mbali mbali ufikia hapa wengine kutoka Nje ya Nchi........
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad