Hutuba ya Sugu Bungeni Yasimamishwa, Bunge Laahirishwa Ghafula Mpaka Jioni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hutuba ya Sugu bungeni yasimamishwa, Bunge laahirishwa ghafula mpaka jioni, kamati ya uongozi yakutana kuijadiri
ni baada ya Zambi kuomba muongozo akidai hotuba ya sugu imejaa uchochezi na uongo wa kuisema vibaya serikali ya ccm.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAKUNA TOFAUTI NA MVUTA BANGI KUNA HADITHI KUWA ADOLF HITLER ALIWADANGANYA ASIKARI WAKE ILIWAWE HODARI MACHO YABADILIKE KUTOKA WEKUNDU YAWE KIJANI

    ReplyDelete
  2. Hapo hamna uchochezi wala nini,ni vile hotuba ya mh.Sugu imewagusa pabaya,na kuambiwa ukweli hamtaki,mmetuchosha,maovu yanatendeka hatuoni chochote,watu wanauawa,nobody cares,wanajifanya kuunda tume,mmmh,report zinaishia kapuni or inaficha ukweli wa jambo,bigup Mr.Sugu,

    ReplyDelete
  3. Hakuna cha uchochezi huo ndio ukweli wenyewe CCm. Acheni kutuzuga bhana

    ReplyDelete

Top Post Ad