Huyu Ndio Kijana Atakaye Enda Kuiwakilisha Tanzania Ndani ya Jengo la Big Brother South Africa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rumors mtaani zina tiririka kwamba eti aliyewahi kuwa mtangazaji wa Clouds Tv Romeo Rommy Jones ndo mtanzania atakayetuwakilisha katika reality tv show maarufu barani africa inayoitwa Big Brother Africa 2013 itakayoanza tarehe 25 mwezi huu wa May,  baada ya taarifa hizo kufika mezani kwa muhariri wa gazeti la  makorokocho ikabidi nijaribu e kutafuta ukweli wake, nilicheki na Rommy Jones alikanusha ila kwa haraka haraka ukanushaji wake una kitu ndani, siku ishia hapo nikacheki na Afisa Mahusiano wa Multi Choice Tanzania Bibie Babra Kambogi yeye hakukanusha wala kukubali, zaidi akasema jina la mwakilishi wa Tanzania ni siri na siri hiyo itakuja kufichuka Tarehe 25 May 2013, ambapo tutaweza kujionea Live mshiriki huyo akiwakilisha ndani ya Jumba la Big Brother lililopo Africa kusini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. so ndo anaenda ku2wakilisha kwenye huo uxhetan unaotendeka humo ndan

    ReplyDelete
  2. Ushetani kwa vile kuna cameras every where na inaonekana on tv...je ushetani unaofanyika behind closed doors in the dark where there are no cameras n ppl like u who are playing god by judging others mbona huusemi?

    ReplyDelete
  3. jmn tattoo ya jna la kike mkononi nmependaje nataman my man angefanya hvyo mmmmh

    ReplyDelete

Top Post Ad