Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Komba ameshauri wabunge wanaochochea vurugu hapa nchini waende jeshini wakajifunze uzalendo waache kuhubiri siasa za ubaguzi. akatolea mfano wa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni tundu lissu ambaye mara kadhaa amekuwa akiingia katika mgogoro na bunge kwa kusababisha vurugu na kutoweka kwa amani katika chombo hicho cha kutungia sheria za nchi.

Akaenda mbali na kusema kuna wabunge wanapenda kuuza sura na ndio wanahabari wanawapenda sana kuuzia habari zao.

Amevikemea vyombo vya habari kwa kuwa chanzo cha kukosekana kwa amani ya nchi kwa kuandika habari za udaku na vurugu na badala ya kuandika habari za maendeleo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Komba nae nn tena, lenyewe lilale tu ucngizi bungen...haya majitu haya!

    ReplyDelete
  2. Naona komba ametoka usingizini,kaamshwa NA mhagama,hajui alipo

    ReplyDelete
  3. Virusi vinamsumbua,linakumbuka vitoto vidogo

    ReplyDelete
  4. Virusi vinamsumbua,linakumbuka vitoto vidogo

    ReplyDelete

Top Post Ad