Kikwete kwenye mgogoro na Rwanda kutokana na ushauri wake kwa Kagame na Museven kuhusu waasi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kikwete anazidi kuongeza maadui! Alianza na Malawi, M23 na sasa Rwanda. Inawezekana ni kwa sababu mti wenye matunda mabivu ndiyo hurushiwa mawe? Au inawezekana kweli Rais wetu ni tatizo kwa nchi zinazotuzunguka? Maana tumeshashuhudia magazeti ya malawi yakimuandika katika mtizamo hasi sana, baadaye M23 wakimjadili katika mitizamo wa hovyo kabisa, na sasa ni Rwanda. Ushauri alioutoa Kikwete wa kuwataka Museven na Kagame waongee na waasi inaonekana umewaudhi wanyarwanda na wameamua kumtolea uvivu. Naamini haya yangeandikwa na gazeti la Tanzania,
 Maneno yalioandikwa chanzo cha habari huku Rwanda:


"His critics in Tanzania allege President Kikwete used “udini” (religious fundamentalism) to win power, a seat he has maintained for 8years now. Could it be President Kikwete’s wish that Rwanda goes the same route of divisionist politics?"

"The facts behind President Kikwete’s comments can be traced back to period before he became leader of Tanzania. Local media have reported extensively how Kikwete and his network set up a campaign platform which ‘facilitated and precipitated religious 
 frictions never experienced before’.

Part of Kikwete’s strategy was to remind his fellow Muslims that it was their turn to “eat” as Christians had eaten through Mkapa’s presidency" 
 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ikiwa umeamua kuandka kwa lugha ye2 jitaid kutfsir kila jambo ikiwa kwa lugha ya nj'e bsi fanya hvyo kwa yote ucaribu lugha ye2 pumbv

    ReplyDelete
  2. asante kaka kwa kumelewesha huyu hayawan hawa ndo wale uolewa mwisho wa siku kwa kuiga mambo ya wa2

    ReplyDelete
  3. acha warud kwao.
    kwan tanzania ni kwao?
    dawa ya kiburi ni jeuri

    ReplyDelete

Top Post Ad