Kinana ajibu tuhuma za Msigwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu Mkuu wa CCM,Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amesema anaamini kuwa chanzo cha kuchafuliwa kwake na wapinzani ni wadhifa wake. ' Hivi vitu havinisumbui.Hapa tatizo ni kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Mimi ni Afisa Mwandamizi sasa katika chama change.Ningekuwa nimekaa nyumbani nafanya biashara zangu yasingetokea haya' alisema Kinana.

Waungwana mnasemaje? Amejibu?

Chanzo: Mwananchi la leo na mimi mwenyewe niliyekuwepo Dodoma jana alipozungumza na waandishi wa habari VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam (sasa Dodoma)
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad