Kulaleki Nimekuta Mahela Kwenye Account yangu ya Banki,Nifanyeje Jamani?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani kuna acount yangu nilliterekeza kama muda miezi saba nikiwa nimeacha kama ka elfu 30 na kitu,sasa leo nikaona ngoja nichungulie kidogo ili nicalculate makato yao,Hee nimekuta kuna Tsh 1,702,742.00 Nimeshangazwa sana na hii balance nimerudi home najiuliza huyu nani atakuwa ameniwekea?,pili nilitaka nizichote ila nikaogopa kale kasecurity camera sasa nimejikuta na maswali kibao kichawani yaani natamani nikazichote ila naona kama hatari coz niliapdate information zangu na nikaandika namba zangu za simu na detail kwenye form.
Wazo lingine linanijia la kwenda kuhoji wafanyakazi wa benk husika ili wanitajie hiyo tranfer imetoka kwa nani,
Naombeni mnisaidie nifanye nini maana hizi hela mi nazitamani nimefulia,i mean naombeni ushauri jamani.
Jina la bank nalihifadhi ila kama mkitaka naweza litaja.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Account si ni yakwako? We kula bata

    ReplyDelete
  2. wee kama una shida kachukue mpunga huo!hujaiba ziko kwenye imaya yako.wakija kukurupuka kubali na ahidi kulipa utapopata basi.huwezi fungwa kwa kuwa ulizitoa kwenye account yako.

    ReplyDelete
  3. We nenda jifanye kama hujui chota zote wachie elfu ishirini tu na wakikustukia wew waambie ulidhani bank wamekudhalishia ndio maana wakakuwekea hicho kiasi, so hata hizo elfu ishirini ulizoacha unategemea zizalishwe pia full stop usiwe na. Maneno mengi kaka.

    ReplyDelete
  4. naona kama unachelewa hv ila omba bank statement utamuona aliyekuwekea pesa ni nani.

    ReplyDelete

Top Post Ad