Kumtetea Kinana ni kupingana na historia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Unapozungumzia wafanyabiashara za maduka ndani ya Tanzania huwezi kuwatenga wachaga, kwani wameanza tangu enzi na enzi na wako radhi ku-take risk kuwekeza kwenye biashara ya duka. Ukiongelea ufugaji wa ng'ombe ni wazi wamasai utawaweka kwenye kundi hilo, haijarishi ni wamasai raia wa kenya au Tanzania. Uraia siyo issue, issue ni asili.

Nije kwenye hoja yangu ya msingi, katika ujangiri wa wanyama pori watu wenye asili ya somalia huwezi kuwaweka pembeni. Makamanda na askari wa wanyamapori wanalijua hili, wasomali wamekuwa wakiwajeruhi na wengine kuuawa katika swala la nyara. Kinana kama mtu mwenye asili ya Somalia (sisemi raia wa somalia kwani hata kariakoo tuna wahindi wengi tu ambao ni watanzania)ku-behave tofauti na watu wa asili yake, ni lazima awe na utashi uliotukuka ila kutokana na kupitia sehemu za ukakamavu (jeshini) nachelea kusema ana kila element ya usomali halisi.

Kumtetea kutohusika na wanyamapori bila kujali asili yake na utashi wake ni kupingana na historia. Mmasai ameacha aishi kwenye mbuga za wanyama kwa kuwa anafahamika hatumii wanyama pori kama kitoweo au chanzo chake cha maisha, kwa msomali habari ni tofauti.

You can't escape from who you real are, if you are a dog you will remain the dog forever hata kama uvishwe nguo na viatu na kulazwa kitandani'

Source:jamii forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwa akili zako zote hicho ndo ulichokiona.msomali nk. Rudi shule

    ReplyDelete
  2. Unapowachambua wanasiasa,wachambue kwa hoja zenye msingi. Sio unakurupuka na hoja za historia

    ReplyDelete
  3. umetumwa bila shaka#
    una akili ya chooni nyama we.....
    kama umeona hoja yako ni nzuri basi nenda polisi.....
    na inavyonekana una chuk na wasomali.....
    kama wewe mwanaume njoo kariakoo utuzungumzie upuuzi huo uone kitachokupata...

    ReplyDelete

Top Post Ad