Lady Jay Dee Afikishwa Mahakamani Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jaydee' .

MWANAMUZIKI Mahiri wa Bongo Fleva , Judith Wambura 'Lady Jaydee ' leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo.

Katika hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na viongozi wa Clouds Media Group ambao ni Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga . Tuhuma za kesi hiyo zinatarajiwa kusomwa mahakamani hapo na Hakimu , Athuman Nyamrani Mei 27 mwaka huu.

Jaydee aliwasili mahakamani hapo akiwa na mumewe Gadner G. Habash mishale ya saa 6 mchana na kuongoza moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao aliwakabidhi hati ya mashitaka hayo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tuko pamoja don't worry

    ReplyDelete
  2. hekima na busara vinahitajika sana katika maisha ya mwanadamu,,,wat i see huko ni kukosa hekima kwa wao wote''''''wanapoteza tyme......

    ReplyDelete
  3. Malaika wakulinde pande zote.

    ReplyDelete

Top Post Ad