Lady Jay Dee Apata Piga Jingine..TID Naye Ajitoa Show ya Lady Jay Dee...Hizi Ndizo Sababu ya Kujitoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Show ya miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo baada ya TID kuwa msanii mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo.
Moja ya sababu anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show unaolipa zaidi.. Sababu ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya ugomvi wowote.
Hivi ndivyo alivyoandika TID kwenye ukurasa wake wa Facebook.
“Three reason why i can’t do lady JIDE SHOW ………….No.1 I have better contract pays me better than.No.2 I really don’t want to be between anybody’s conflict ya kwangu yananishinda naona nieupushe shari…No.3 nataka kuoa muda wangu ndo huu ……………kama nimekukosea captein na madame kazeni but I have been thru same shit.”
Tayari Linah, Barnaba na Matonya wamejitoa kutumbuiza kwenye show hiyo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi kumbe TID myonge kiasi hiki! He must be TOPE IN DAR and not TOP IN DAR

    ReplyDelete
  2. TID hana mpango shooo ya jide na ugomvi wa ruge ni vitu viwili tofauti inamaana wote watakao hudhuria shoo hiyo wanahusika na ugomvi TID weee TOPE hata huyo unayemuoa anakazi ya ziada maana clouds wakitoa amri usimtombe mkeo utawasilikiza Senge wewe na walio kushinikia utoke.Jedy yuko kado na tutafanikisha shooo kwa uwezo wa mungu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. akili ndogo utaijua tu kaka

      Delete
  3. Tid pole maunga yanakupeleka hujielewi.teja mkubwa wewe.

    ReplyDelete
  4. Commando go on mamaaaaa achana na wajinga waliokuwa na akili ndogo, Hakuna sababu ya maana aliyoipresent hapo na wenye akili tuna jua moja kwa moja kuna shinikizo! TID you have to be a gentle sio unapelekwa pelekwa.

    Unasema unamkataba ambao utalipwa vizuri zaidi why did you sign another contract while you have already signed contract with anaconda? Dont you see wewe ni kigeugeu? Watu watakuwekea mashaka kufanya kazi na wewe japokuwa umeshashuka kimuziki.

    Unataka usiwepo kwenye ugomvi na mtu yeyote! Huoni kama ndio umeingia straight forward katika ugaomvi huo? Maana mama some food hawezi kukuelewa kama hauusiki na ugomvi ili hali ulikubali mara ya kwanza na matangazo ukatengeneza iweje ukatae dakika za mwisho? Its obvious you belong katika bifu hiyo na kwa kifupi upo upande wa pili wa shilingi.

    Na mwisho unasema unataka kuoa na muda wako ndio huo! Are you stupid? Nani aliyekwambia kuoa ni msiba? Kuoa unajua six month before so why you present that reason?
    Unataka kuoa alafu unacontract itakayo kulipa zaidi muda huohuo maana yake nini? Jipange mtu mzima maana ushapotea na ndio unaelekea kupoteleana zaidi.

    ReplyDelete
  5. Clouds wanatumia vibaya sana nafasi yao. Kila msanii akitofautiana nao basi anakuwa fixed ila wakumbuke usemi usemao " be nice to people on your way up coz u wil need them on ur way down". Gado my dear sister. Napenda sana ulivo independent na kazi zako...

    ReplyDelete

Top Post Ad