Makubwa: Yule Kijana Aliyesema kuwa Diamond ni Kaka yake Akanusha na Kusema Si Kweli Nimechezewa mchezo tu Simjui Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika Hali isiyo ya kawaida yule kijana ambae video yake ilienea mtandaoni akiongea kuwa Diamond ni kaka yake wa damu walio changia baba...na  kusema kuwa Diamond Amemtelekeza na kuwa hataki kumsaidia kwa vyovyote....Jana katika Kipindi cha XXL segment ya U-heard Amesema kuwa Hamjui Diamond na wala si kaka yake ....Alipoulizwa kuhusu Video aliyorekodi Akimtuhumu Diamond alisema kuwa alichezewa mchezo na rafiki ake ambae alimwambia Afanye kama ana Act kuongea hivyo coz anafanana na Diamond kwa Sura,,,Baada ya Ku act hivyo alishangaa Kesho yake video imewekwa You Tube na Blogs Kuanza kuandika....So Amesema Si kweli na Amemuomba Diamond Msamaha.....
Check Video yenyewe Aliyorekodiwa...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad