Makubwa:Mwigizaji Bongo Movies Aisha Bui Atafuta wa Kuzaa Naye

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KWELI haya ni makubwa! Baada ya kuadimika kwa muda mrefu, mwigizaji wa filamu za Kibongo, Aisha Bui ameibuka na kusema kuwa anatafuta mwanaume ambaye atamzalia mtoto na hatimaye waoane ila akadai wa kumuoa kwa sasa hamuoni.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda,  Aisha alifunguka kuwa alikuwa kimya kwa sababu kuna mambo alikuwa akifanya.
Alisema kwa kuwa ameyakamilisha, sasa ana nafasi ya kusaka mtoto iwapo atampata mwanaume sahihi.
Alivitaja vigezo vya mwanaume wa kumzalia kuwa amjengee nyumba ya kuishi yeye na mtoto wake kisha awe na uwezo wa kumlea na kumpatia elimu bora.
Source:Global Publisher
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwambie anitafute. Jahtheking17th@gmail.com au King Jah Facebook.

    ReplyDelete
  2. nitafute me lee.chidi@yahoo.com

    ReplyDelete
  3. Nani akujengee nyumba bora urudi jela

    ReplyDelete
  4. huyu c ndo alikuwa mke wa medi mpakanjia ama????

    ReplyDelete

Top Post Ad